Huyu ndiye mwanamke mrembo kuliko wote duniani

Huyu ndiye mwanamke mrembo kuliko wote duniani

Una experience ya kutosha mkuu -- asante kwa kutuwakilisha vyema wanaume wenzako
Automatically wanawake weusi kama hao huwa wamoto, wekundu kwa ndani, yani inakuwa Nyekundu na joto la kutosha.... Halafu wanakuwa hawanuki bali wananukia kike
 
Kuna tofauti kubwa baina ya neno Urembo na uzuri/mzuri. .....

Mrembo ni Yule mwanamke Ambaye ana jiremba Ili azidi kuvutia. .

Mzuri ni Aina ya mwanamke Ambaye amezaliwa hivyo yaani yeye kabla hata ya kutumia vipodozi uzuri wake unaonekana tu wakati wote
MBONA HANA CHURA SASA NA SISI KIGEZO CHA MREMBONI CHURAAA
 
duu tunatofautiana sana mleta maada, mimi hapo nimeona madudu tu!
 
Daah huyo ana melanin nyingi sana ... naungana na baadhi ya watu kuwa ni mrembo ila nina uhakika kuwa sio mrembo dunia nzima. ...

Pia ijapokuwa ni mrembo lakini uzuri wake ni wa wastani
 
Huyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani

Nimeleta hizi Picha kuwakumbusha dada zetu kuhusu maana halisi ya urembo

Huyu angezaliwa Tanzania sahivi angekuwa na rangi kama saba hivi mwilini mwake

Ikumbukwe wa Sudan ndio walikuwa wamisiri originally kabla ya waarabu hawajavamia Africa kaskazini na kuwatimuaView attachment 1143496View attachment 1143497View attachment 1143498View attachment 1143499View attachment 1143500View attachment 1143502View attachment 1143503View attachment 1143504View attachment 1143505
Ni mzuri ila co kwa dunia
 
Ndiyo anaitwa nani sasa??, Tumtafute na sisi
 
10000000000000000% pure ancient Jews.
South Sudan ni mojawapo ya nchi/watu wake hawazungumziwe kuwa ndio wana halisi wa Israel.
 
Back
Top Bottom