Huyu ndiye mwanamke mrembo kuliko wote duniani

zaidi ya mrembo kwa kweli ana rangi yake ya asili inayoangaza na kuakisi asili ya mwafrika bila ya kuchubua ngozi yake kwa madawa yenye sumu na kuwa na rangi nyingi kama wafanyavyo wadada wa mjini siku hizi
 
kuna mtaa unaitwa duniani.... labda ni mrembo kwa mtaa wa duniani anakotoka[emoji23][emoji23][emoji817]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Huyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani

Nimeleta hizi Picha kuwakumbusha dada zetu kuhusu maana halisi ya urembo

Huyu angezaliwa Tanzania sahivi angekuwa na rangi kama saba hivi mwilini mwake

Ikumbukwe wa Sudan ndio walikuwa wamisiri originally kabla ya waarabu hawajavamia Africa kaskazini na kuwatimuaView attachment 1143496View attachment 1143497View attachment 1143498View attachment 1143499View attachment 1143500View attachment 1143502View attachment 1143503View attachment 1143504View attachment 1143505
iishhhiii...! Mimi mpaka nijue kama ana chura.
 
Badili kauli yako ya kwamba tumeshikiwa akili...uzuri kila mwanaume anavigezo vyake
 
Kwamba na sisi rangi ya chocolate tumekumbukwa!
Indeed mkuu,hakuna dem mzuri km chocolate color,hauishiwi shauku ya kumuangalia aisee.
Mfano mzuri watizame wabrazil mkuu.
Kwa huku Tz kuna wairaki wa manyara embu kawatizame mkuu uwaone wanavyopendeza.
Weupe unauchoka mapema aisee.
Halafu chocolate color and black beuty hzo vitu ni unique havigezeki.
Sio km Weupe unaununua dukan
 
Hahahahahahha
 
Wew mleta mada una rangi ipi
Huyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani

Nimeleta hizi Picha kuwakumbusha dada zetu kuhusu maana halisi ya urembo

Huyu angezaliwa Tanzania sahivi angekuwa na rangi kama saba hivi mwilini mwake

Ikumbukwe wa Sudan ndio walikuwa wamisiri originally kabla ya waarabu hawajavamia Africa kaskazini na kuwatimuaView attachment 1143496View attachment 1143497View attachment 1143498View attachment 1143499View attachment 1143500View attachment 1143502View attachment 1143503View attachment 1143504View attachment 1143505
 
Automatically wanawake weusi kama hao huwa wamoto, wekundu kwa ndani, yani inakuwa Nyekundu na joto la kutosha.... Halafu wanakuwa hawanuki bali wananukia kike
umeongea kwa hisia sana ila mi nadhani kila mwanadamu joto lake la mwili huwa linakiwango fulani cha ufanano lakini hutofautiana kulingana na metabolism katika mwili wake
 
Hamshindi Mke wangu
Huyu binti amezaliwa sudani kusini ila sasa anaishi huko majuu ni mrembo haswa wazungu ambao ndio hufikiri kwa niaba yetu wanasema huyu ndiye msichana mzuri na mrembo zaidi duniani

Nimeleta hizi Picha kuwakumbusha dada zetu kuhusu maana halisi ya urembo

Huyu angezaliwa Tanzania sahivi angekuwa na rangi kama saba hivi mwilini mwake

Ikumbukwe wa Sudan ndio walikuwa wamisiri originally kabla ya waarabu hawajavamia Africa kaskazini na kuwatimuaView attachment 1143496View attachment 1143497View attachment 1143498View attachment 1143499View attachment 1143500View attachment 1143502View attachment 1143503View attachment 1143504View attachment 1143505
 
kuna mambo mengine ukisoma unacheka tu.. kila mtu abaki na mzuri wake katika ubongo wake kwa namna ilivyotafasiriwa picha yake mengine tumwachie mungu ajibu nani ni mzuri kuliko wanawake wote duniani huyo tu anazidiwa na housegirl wa mother kiom halafu mnasema ati ni mrembo bora wa duniani duh
 
Back
Top Bottom