Huyu ndiye Mwanamke mzuri kuliko wote E.Afrika

Huyu ndiye Mwanamke mzuri kuliko wote E.Afrika

Kuna muda unaeza ukaandika vitu halaf baada ya muda kupita ukaja kuvisoma tena unajikuta unajutia ujinga wako.
 
Baba gaudeeeeeee,,,uko wapi.

Leta Sifa za mama gaudee
 
ukikutana na demu wangu ambaye ni beki 3, huyo zari utamuweka pending.
 
Kuliko bi mkubwa wako na dada zako yaani wao ni wabaya ukiwaweka na uyo mdada pichani?
Acha nipite zangu kwanza.
 
Beauty can never be appreciated after a make up...
 
Huyu mama kimuonekano mtu akikuambia ana watoto watano unabisha.... anaonekana bado "binti mbichi" kabisa... Zari the bosslady ukimfananisha na mastaa wetu wa bongo ambao wana mtoto mmoja, wawili na wengine hawana hata wa kusingiziwa, utagundua kuwa yeye ndiye balaa zaidi... kawafunika wote... hebu pepesa macho hapa ujioneeView attachment 870038View attachment 870040
Kakutuma uje umpost humu! Mwanamke mzuri ni mke wangu ambaye ndiye niliona anafaa kuliko wanawake wengine. Hafu dogo uzuri wa mwanake inategemea na hitaji la mwanaume: wengine hupenda rangi ya ngozi, wezele, tabasamu, miguu, macho, kuongea nk sawa acha kuwa unajiandikia vitu hovyohovyo
 
Nionavyo mimi mwanamwanamke mzuri kuliko wote ni Mama Gaude wangu tu.
 
Kuna tofauti ya 'urembo' na 'uzuri'. Huyu mwanamke ni mrembo, kweli ni mrembo. Lakini kwenye swala la 'uzuri', hapana. Hebu badili kichwa kwenye uzi wako. Ni mwanamke mrembo.
 
Kafaidi wapi janjaro inawezekana kabisa kaachiwa ngwengwe maana manzi alikuwa anatembea na mshkaji flan anaitwa ababuu nae ni marehemu sasa...acha chaini iendeleeView attachment 870397
Haaaaa ndo nin mkono wa nyani
JULIANA =HIV
Labda analia kwa kuachiwa ngoma kama mdau mmoja alivyosema hapo juu

=======================================================================
 
Back
Top Bottom