Soma vizur ndipo uchangie acha haraka
Acha kujifanya mnajimu...
Yani hawa jamaaa kaz kuanzia uzi ambao hauna msingi kabisaaaaaa...sjui hawna kaz
Sio kwamba ana penda kuishi ivyo tatizo ela sasa akianza kununua nguo kibubu cha kujazia ela ya kufanyia video ya kale ka wimbo kake c kitaisha ela yote
Anatamani sana maisha ya kuandikwa ila tatizo hadhira haitaki habari zake
Msanii anatakiwa aishi kistar kiba hana chukuonesha maisha yake yakawaida tu msitake kujifurahisha ngoja apate ndo mtamjua.
Anatamani sana maisha ya kuandikwa ila tatizo hadhira haitaki habari zake
Kweli wewe ndio kiazi kabisa.Wenye kazi zao hawaonekani humu hadi weekend au mara chache kwa mwezi, wewe kila siku uko huku halafu unaita wenzio hawana kazi!
Wewe mwenye nayo unafanya nini hapa?
Insta ambapo am follow mtu hata mmoja anajifanya ana swag za Beyonce kweli ana makuu hata insta
Shortly ni kwmba huyo jamaa hata angetembea uchiiii hawezu uza habariiiiiiiiiii...hana loloteeee nyie ng'ang'anen hapaaaa tuuuu
Wenzake wanapiga kaz huko dubia, londoniiiii...
tatizo vya kuonyesha havina mvuto wa attention... kwa mfano nyumba yake ile huwezi nishawishi kapost afu iwe na benefit kwake, inamshusha sababu wengi wakishaona promo na maneno mengi basi wanahisi atakuwa anakaa ikulu flani hivii....
We ndo huoni ingawa ana macho kijiba cha roho kitakuua eeeh huyo huyo ndo anawanyima usingizi sema hamtaki Ku admit. Ali Kiba for ever ata shine tu bila hata kiki za kudate ma cougar na papuchi tofauti.
Ndo uelewa wako ulipoishia kufikiri. We kumbe ndo unawekaga hela kwenye kibubu kwenye 21st century badala ya bank uko too local umezoea uswahili ndo mana hadi hufikiri nje ya box.
Ndo uelewa wako ulipoishia kufikiri. We kumbe ndo unawekaga hela kwenye kibubu kwenye 21st century badala ya bank uko too local umezoea uswahili ndo mana hadi hufikiri nje ya box.
Babu wee pilipili usiyoila ya kuwashia nini? Na wewe jifanye basi na swaga za Jay z kama kidume kweli. Mwandiko wako tu unaonyesha kiba ana kunyima amani eeeeeheiyaaaa utasubiri sana hadi huko kwa babu kusande kiba mwanzo mwenga .
we ndo huoni ingawa ana macho kijiba cha roho kitakuua eeeh huyo huyo ndo anawanyima usingizi sema hamtaki ku admit. Ali kiba for ever ata shine tu bila hata kiki za kudate ma cougar na papuchi tofauti.
shortly ni kwmba huyo jamaa hata angetembea uchiiii hawezu uza habariiiiiiiiiii...hana loloteeee nyie ng'ang'anen hapaaaa tuuuu
wenzake wanapiga kaz huko dubia, londoniiiii...
Wamesema kuwa kizuri chajiuza kibaya chajitembeza na akiona mambo magumu anajifanya kutetea wengine kumbe ni selfish na kujitaftia public sympathy tu watasubiri sana debe tupu hupiga kelele.Wera weraaaaaaa...
Forever Ali Kiba.Hatuna stress kua akiachana na mwanamke huyu atakua hana jipya maana hategemei wanawake kupata kick...
Good music ndio nguzo hasa ya King Kiba.