Huyu ndiye mwanamuziki anayeishi maisha halisi, sio kuigiza igiza

Acha kujifanya mnajimu...

Mnajimu kwenye nini? Ulirudi juzi na jana thread hiyoooo...
Halafu bila kunichokoza huoni kama umeingia JF.Ndio maana nikiona kimya najua haupo.
Ukirudi fujoooo....
 
tatizo vya kuonyesha havina mvuto wa attention... kwa mfano nyumba yake ile huwezi nishawishi kapost afu iwe na benefit kwake, inamshusha sababu wengi wakishaona promo na maneno mengi basi wanahisi atakuwa anakaa ikulu flani hivii....
 
Yani hawa jamaaa kaz kuanzia uzi ambao hauna msingi kabisaaaaaa...sjui hawna kaz

Kweli wewe ndio kiazi kabisa.Wenye kazi zao hawaonekani humu hadi weekend au mara chache kwa mwezi, wewe kila siku uko huku halafu unaita wenzio hawana kazi!
Wewe mwenye nayo unafanya nini hapa?
 
Sio kwamba ana penda kuishi ivyo tatizo ela sasa akianza kununua nguo kibubu cha kujazia ela ya kufanyia video ya kale ka wimbo kake c kitaisha ela yote

Ndo uelewa wako ulipoishia kufikiri. We kumbe ndo unawekaga hela kwenye kibubu kwenye 21st century badala ya bank uko too local umezoea uswahili ndo mana hadi hufikiri nje ya box.
 
Anatamani sana maisha ya kuandikwa ila tatizo hadhira haitaki habari zake

We ndo huoni ingawa ana macho kijiba cha roho kitakuua eeeh huyo huyo ndo anawanyima usingizi sema hamtaki Ku admit. Ali Kiba for ever ata shine tu bila hata kiki za kudate ma cougar na papuchi tofauti.
 
Kweli wewe ndio kiazi kabisa.Wenye kazi zao hawaonekani humu hadi weekend au mara chache kwa mwezi, wewe kila siku uko huku halafu unaita wenzio hawana kazi!
Wewe mwenye nayo unafanya nini hapa?

Shortly ni kwmba huyo jamaa hata angetembea uchiiii hawezu uza habariiiiiiiiiii...hana loloteeee nyie ng'ang'anen hapaaaa tuuuu
Wenzake wanapiga kaz huko dubia, londoniiiii...
 
Insta ambapo am follow mtu hata mmoja anajifanya ana swag za Beyonce kweli ana makuu hata insta

Babu wee pilipili usiyoila ya kuwashia nini? Na wewe jifanye basi na swaga za Jay z kama kidume kweli. Mwandiko wako tu unaonyesha kiba ana kunyima amani eeeeeheiyaaaa utasubiri sana hadi huko kwa babu kusande kiba mwanzo mwenga .
 
Shortly ni kwmba huyo jamaa hata angetembea uchiiii hawezu uza habariiiiiiiiiii...hana loloteeee nyie ng'ang'anen hapaaaa tuuuu
Wenzake wanapiga kaz huko dubia, londoniiiii...

Hahahahahaaa umepanic hatariiii! Mbona umejibu tofauti na nilichokuuliza?
Sawa sisi hatuna kazi wewe mwenye nayo mbona uko huku na sisi majobless?
 
tatizo vya kuonyesha havina mvuto wa attention... kwa mfano nyumba yake ile huwezi nishawishi kapost afu iwe na benefit kwake, inamshusha sababu wengi wakishaona promo na maneno mengi basi wanahisi atakuwa anakaa ikulu flani hivii....

kumbe anatokea mbagalaaaa
 
We ndo huoni ingawa ana macho kijiba cha roho kitakuua eeeh huyo huyo ndo anawanyima usingizi sema hamtaki Ku admit. Ali Kiba for ever ata shine tu bila hata kiki za kudate ma cougar na papuchi tofauti.

Wera weraaaaaaa...
Forever Ali Kiba.Hatuna stress kua akiachana na mwanamke huyu atakua hana jipya maana hategemei wanawake kupata kick...
Good music ndio nguzo hasa ya King Kiba.
 
Ndo uelewa wako ulipoishia kufikiri. We kumbe ndo unawekaga hela kwenye kibubu kwenye 21st century badala ya bank uko too local umezoea uswahili ndo mana hadi hufikiri nje ya box.

safi sana umemwambia ukweli
 
Ndo uelewa wako ulipoishia kufikiri. We kumbe ndo unawekaga hela kwenye kibubu kwenye 21st century badala ya bank uko too local umezoea uswahili ndo mana hadi hufikiri nje ya box.

Sasa we hujui Ali kiba ana weka ela kwny kibubu c alivamiwa n akaibwa million 4 cjui 2 sasa katika dunia ya Leo nani ana kaa n iyo ela nyumbani kwake
 
Babu wee pilipili usiyoila ya kuwashia nini? Na wewe jifanye basi na swaga za Jay z kama kidume kweli. Mwandiko wako tu unaonyesha kiba ana kunyima amani eeeeeheiyaaaa utasubiri sana hadi huko kwa babu kusande kiba mwanzo mwenga .

Hahahahahaaa Diva Beyonce unanipaga raha sana! Basi tu am proud of being your friend!
 
Last edited by a moderator:
we ndo huoni ingawa ana macho kijiba cha roho kitakuua eeeh huyo huyo ndo anawanyima usingizi sema hamtaki ku admit. Ali kiba for ever ata shine tu bila hata kiki za kudate ma cougar na papuchi tofauti.

k 4 real
 
shortly ni kwmba huyo jamaa hata angetembea uchiiii hawezu uza habariiiiiiiiiii...hana loloteeee nyie ng'ang'anen hapaaaa tuuuu
wenzake wanapiga kaz huko dubia, londoniiiii...

k 4 real
 
Wera weraaaaaaa...
Forever Ali Kiba.Hatuna stress kua akiachana na mwanamke huyu atakua hana jipya maana hategemei wanawake kupata kick...
Good music ndio nguzo hasa ya King Kiba.
Wamesema kuwa kizuri chajiuza kibaya chajitembeza na akiona mambo magumu anajifanya kutetea wengine kumbe ni selfish na kujitaftia public sympathy tu watasubiri sana debe tupu hupiga kelele.
 
Back
Top Bottom