Huyu ndiye Mwigulu Nchemba


Hiyo pia ni sifa ya uongozi maana anaweza fanya kwa mafisadi wote
 
Mwigulu Nchemba ndio Rais 2015 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana ni Mwadilifu, Mzalendo na Mwajibikaji katika Uongozi.

Nasikia na Boko haram Nigeria wanataka kusimamisha raisi labda huyo atakuwa raisi wa boko haram. kwa tanzania hiyo ni ndoto kabisa,
 
Huyo mwigulu ndo yupi? Huku sisi tunamfaham Lema, Lissu, Lipumba, mbatia, mbowe na Dr. Slaa
 
Katika hali ya kuonesha kuwa Mwigulu anazidi kupenya kwenye Vichwa vya watanzania wengi,Wanasiasa,Wanafunzi,Wakulima na Wafugaji.
Zitto Kabwe ambaye anatajwa kuwa Mwanasiasa bora Nchini Tanzania katika Uga wa Kusimamia anachokisema na kukijengea hoja,Zitto Kabwe wakati huu taifa likielekea Uchaguzi Mkuu 2015 ameamua kuweka bayana kuwa Mwigulu ni Mgombea Urais 2015 anayemkubali zaidi.
Kupitia Ukurasa wake wa Facebook mbali na maongezi marefu zaidi waliyoyafanya jana kwenye kikao kisichorasimi yeye na wanasiasa wengine akaamua kuutangazia Umma kuwa mwigulu ndiye Mgombea Urais.
 

Attachments

  • Screenshot_2014-11-10-23-58-15-1.png
    306.7 KB · Views: 3,740
Hebu tueleze huyo Zitto amesemaje kuhusu kumkubali huyo Mwigulu. Statement yake iko wapi?
 
Kumbuka.. Jasiri haachi asili na mtu alikishaanza kula nyama ya mtu haachi. Huyu mtu ni gaidi na hakuna asiyejua vitendo vyake hapo nyuma.
 
Atagombea kule ACT au CCM? Maana najua CCM wakati wanamtumia Zitto walimkaribisha kibarazani pekee, sasa inashangaza mambo ya sebuleni na chumbani ya CCM kayajulia wapi!!
 
Hapa utakuwa umewaudhi wanywa viroba naona wanafuta punzi
 
Hatupaswi kumwamini mtu ambaye anaonekana kubadilika katika kipindi kifupi kwa kuwa si ajabu kesho tena akabadilika, tunaitaji mtu ambaye alikuwa na msimamo na uzalendo mda wote, Think twice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…