Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

Wana singida wakiamua hana ujanja labda akigombea kwenye jimbo la magogoni
nilikuwa namchukia huyu MWIGULU ila nimejajua ni nguvu gani iliyo nyuma yake kwa hiyo hazuiliki
 
Wana singida wakiamua hana ujanja labda akigombea kwenye jimbo la magogoni
Itakuwa hivi:
January, nape, ridhiwan and the likes watautaka urais, hawa ni watoto wa wazee wa mjini.
Sasa muafaka utafikiwa kwa makubaliano ya tukose wote ila tumsimike mtu tunayemwamini ila sio mtoto wetu wooote kwa pamoja.
Hapo watakubaliana wamsimike MWIGULU kwan Wana uhakika hatawaletea ushamba wa MAGUFULI
MWIGULU anaaminika sana na king makers, watoto wa mjini na wazee wa mjini.
Sasa wewe nitajie ni nan mwingine wazee wa mjini including Samia watakubali kumpa urais baada ya funzo kutoka kwa Magufuli?

Ndio nasema MWIGULU ni rais ajaye!!!!
 
Mwandishi mbona kama ni yeye mwigulu au kama sio yeye basi ni chawa wake. Ila huyu mtu hafai kuwa hata DC!
 
Back
Top Bottom