Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

nilikuwa namchukia huyu MWIGULU ila nimejajua ni nguvu gani iliyo nyuma yake kwa hiyo hazuiliki
 
Mwigulu wa mbinguni mimi namkubali sana
 
Binafsi nianze kumpongeza DKT Mwigulu Nchemba kwa kazi yake kama mwanasiasa na gwiji wa mbinu za ushindi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Kwanini mwigulu nchemba na VIjana wengine ndani ya CCM ni mmoja wa mtu wa mbinu hatari za ushindi tangu akiwa shule .kwa mwenye kumbukumbu nzuri huyu ndiye aliye kuwa master mind uchaguzi mdogo jimbo la Igunga hilo halina ubishi ,kwani ushindi wa DKT.DALALI ulichangiwa kwa kiasi kikubwa na mbinu za mtalaam huyu wa uchumi. kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015 kijana huyu alikuwa mwiba mkali saana kwa upinzani hili halina ubishi. Hata hivyo jimboni kwake huwezi kutaja Iramba magharibi bila kumtaja mwigulu .anayedhani mimi mwongo asubiri huyu prof.uchwara Mkumbo kwani kama atajitokeza kumpinga mwigulu kuna uwezekano mkubwa kupoteza nafasi ya ukatibu mkuu wizara ya maji na kurudi kufundisha kama fani yake ilivyo.

MWIGULU NI NANI SUBIRI MAKALA ZIJAZO CCM OYEEEE MAGUFULI OYEEEEE
By mnkondya
0628227033

Jamaa unajali tumbo lako tu. Kila mtu anajua ni wewe mwenyewe😂😂
 
We umeleta masiasa mengi katika Uzi wako but elewa hakuna Mwenye hati milk
na jimbo huu mfumo lazima uwe wazi.
Tenda wema nenda zako usingoje shukrni
Kwani yeye ameuba ilo jimbo acheni wananchi wafanye mahamuzi basi ,hata
Mimi ningekua na Chama nimg'oa huyo
Mwigulu
 
Binafsi nianze kumpongeza DKT Mwigulu Nchemba kwa kazi yake kama mwanasiasa na gwiji wa mbinu za ushindi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Kwanini mwigulu nchemba na VIjana wengine ndani ya CCM ni mmoja wa mtu wa mbinu hatari za ushindi tangu akiwa shule .kwa mwenye kumbukumbu nzuri huyu ndiye aliye kuwa master mind uchaguzi mdogo jimbo la Igunga hilo halina ubishi ,kwani ushindi wa DKT.DALALI ulichangiwa kwa kiasi kikubwa na mbinu za mtalaam huyu wa uchumi. kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015 kijana huyu alikuwa mwiba mkali saana kwa upinzani hili halina ubishi. Hata hivyo jimboni kwake huwezi kutaja Iramba magharibi bila kumtaja mwigulu .anayedhani mimi mwongo asubiri huyu prof.uchwara Mkumbo kwani kama atajitokeza kumpinga mwigulu kuna uwezekano mkubwa kupoteza nafasi ya ukatibu mkuu wizara ya maji na kurudi kufundisha kama fani yake ilivyo.

MWIGULU NI NANI SUBIRI MAKALA ZIJAZO CCM OYEEEE MAGUFULI OYEEEEE
By mnkondya
0628227033
Kafute yale maadishi kwenye madaraja na majabali maeneo mbalimbali Tanzania
 
Wewe ndo ulikuwa katika kikosi kazi cha kuchora maandishi kwenye mawe njiani
 
Kikubwa maarbino wetu wabaki salama tu.
 
Naona ndg yng mkondya from mbozi kaamua kuwa mpiga debe wa mwingulu..mnyamwaga
 
Mimi binafsi namkubali sana TAL kama mtu ambaye ni sahihi kwa mwaka 2020 kuaminika kupeperusha bendera ya kambi ya upinzani, vile ambavo kwa mwaka 2025 anavyostahili Zitto Kabwe.

Lakini kwa chama tawala, kwa mwaka 2020 ama 2025 nawaona tu Bernard Membe, Mwigulu Nchemba ama January Makamba kuwa ndiyo pekee wenye sifa za kuwa "presidential material" kutoka upande wa Tanzania Bara
 
Binafsi nianze kumpongeza DKT Mwigulu Nchemba kwa kazi yake kama mwanasiasa na gwiji wa mbinu za ushindi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Kwanini mwigulu Nchemba na VIjana wengine ndani ya CCM ni mmoja wa mtu wa mbinu hatari za ushindi tangu akiwa shule .kwa mwenye kumbukumbu nzuri huyu ndiye aliye kuwa master mind uchaguzi mdogo jimbo la Igunga hilo halina ubishi ,kwani ushindi wa DKT.DALALI ulichangiwa kwa kiasi kikubwa na mbinu za mtalaam huyu wa uchumi. kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015 kijana huyu alikuwa mwiba mkali saana kwa upinzani hili halina ubishi.

Hata hivyo jimboni kwake huwezi kutaja Iramba magharibi bila kumtaja mwigulu .anayedhani mimi mwongo asubiri huyu prof.uchwara Mkumbo kwani kama atajitokeza kumpinga mwigulu kuna uwezekano mkubwa kupoteza nafasi ya ukatibu mkuu wizara ya maji na kurudi kufundisha kama fani yake ilivyo.

MWIGULU NI NANI SUBIRI MAKALA ZIJAZO CCM OYEEEE MAGUFULI OYEEEEE
By mnkondya
0628227033
PhD yake ni kashifa. Alifanyiwa na Adolph Mkenda, kisha naye akamwezesha Mkenda kuukwaa naibu Katibu Kuu, Fedha enzi za Kikwete.
 
Binafsi nianze kumpongeza DKT Mwigulu Nchemba kwa kazi yake kama mwanasiasa na gwiji wa mbinu za ushindi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Kwanini mwigulu Nchemba na VIjana wengine ndani ya CCM ni mmoja wa mtu wa mbinu hatari za ushindi tangu akiwa shule .kwa mwenye kumbukumbu nzuri huyu ndiye aliye kuwa master mind uchaguzi mdogo jimbo la Igunga hilo halina ubishi ,kwani ushindi wa DKT.DALALI ulichangiwa kwa kiasi kikubwa na mbinu za mtalaam huyu wa uchumi. kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015 kijana huyu alikuwa mwiba mkali saana kwa upinzani hili halina ubishi.

Hata hivyo jimboni kwake huwezi kutaja Iramba magharibi bila kumtaja mwigulu .anayedhani mimi mwongo asubiri huyu prof.uchwara Mkumbo kwani kama atajitokeza kumpinga mwigulu kuna uwezekano mkubwa kupoteza nafasi ya ukatibu mkuu wizara ya maji na kurudi kufundisha kama fani yake ilivyo.

MWIGULU NI NANI SUBIRI MAKALA ZIJAZO CCM OYEEEE MAGUFULI OYEEEEE
By mnkondya
0628227033
Alafu itusaidie nini sisi?
 
Haya nenda kachukue buku zako 7 lumumba

Mkuu ume mquote kimakosa maana siyo aliye pandisha uzi husika
Unaudhalilisha ukoo wa Mnkondya kwa kuja kumsifia mafia aliyejaa damu zisizo na hatia mikononi mwake. Hivi umekosa kazi ya kufanya au?
 
Back
Top Bottom