Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

attachment.php
 
Mkapa na Mwinyi walikuwa Namibia last week. Sasa kusema jana wameenda huko ni jinsi gani inaonyesha kuwa data za kuungaunga na kuhisi. Zinatia shaka.
 
hivi mtu na akili zake anaweza vipi kwenda kujisimamaisha sehemu ili apigwe picha na mtu fulani na kuitumia picha hiyo kutangaza uchu wake?

Halafu eti ndio anautaka urais kwa mbinu za kizee hivyo. Kisha ni nani aliyemwambia hao marais wa hizo nchi alizokutana nazo ndio wapiga kura wake? Hivi hawa wataka urais wa ccm wanadhani bado watu ni mafala kwa kiwango kile ama wanadhani kwakuwa watalitumia jeshi na tume ya uchaguzi isiyojitambua ndio watapata nchi watakavyo?
 
Kama ni hivi sasa kuna hatari ya siku moja kuamka na kukuta tuna raisi aliyetoka Mirembe
 
Hili li nchi hili kila mtu akiamka anajitangazia urais enzi za mwalimu hata wajumbe wa nyumba kumi walikuwa wanatazamwa kwa jicho la tatu... rudi tanganyika..
 
Mwaka huu hata fisi watapiga kura
 

Attachments

  • 1427532300818.jpg
    1427532300818.jpg
    40.6 KB · Views: 159
" Haiwezekani katika taifa hilohilo shirika la umma likavuna raailimali ya umma na kuwa na fedha za ziada hata kukosa wazitumie wapi na kutumia kwa anasa wakati huohuo katika Taifa hilohilo akina mama wajawazito wakawa wana lala wawili kwenye kitanda na wengine kulala chini, hakuna dawa au watoto kukaa chini. Tutazichukua fedha hizo tuwapatie huduma masikini. Mwigulu Nchemba
 
NUKUU NZITO YA LEO KUTOKA DODOMA BUNGENI " Haiwezekani katika taifa hilohilo shirika la umma likavuna rasilimali ya umma na kuwa na fedha za ziada hata kukosa wazitumie wapi na kutumia kwa anasa wakati huohuo katika Taifa hilohilo akina mama wajawazito wakawa wana lala wawili kwenye kitanda na wengine kulala chini, hakuna dawa au watoto kukaa chini mashuleni.Tutazichukua fedha hizo zisaidie Masikini. Mwigulu Nchemba
 
BREAKING NEWS KUHUSU URAIS 2015, Urais ndani ya CCM ni Mwigulu Nchemba. (siri za vuja.)

Lile fumbo la nani atakuwa mgombea wa Urais kupitia CCM imeteguliwa baada ya SIRI kuvuja kuwa anayeandaliwa ni Mwigulu Nchemba. Taarifa za ndani tulizozipata toka kwa mjumbe mzito kwenye mfumo zinasema kuwa Mwigulu Nchemba ndio chaguo ndani ya CCM nakwamba sasa amekuwa akiitwa kwenye mikutano inayowaweka pamoja Marais wa Afrika na wengine Duniani ili apate kutambulishwa na kupata uzoefu wa mikutano mikubwa. Pia Mwigulu amepelekwa mataifa yote makubwa kwa siri kutambulishwa. Mwaka jana tarehe 25 May 2014 alipelekwa China na kuonana na viongozi wa juu wa CPC chama kinachotawala china akiwepo I PING na Rais wa China Xi Jing Ping.

Tar 10 August 2014 Mwigulu Alipelekwa Uingereza kwa Siri na kutambulishwa kwa chama Labor na kuandaliwa mkutano wa Watanzania. Tar 25 Nov 2014 Mwigulu alipelekwa Marekani majimbo 25 na baadae kuonana na Obama kutambulishwa kwa magavana wa majimbo yenye nguvu.

Alipotoka kule Mwigulu alipelekwa Ufaransa na Ujerumani tar 3 Mwezi wa kwanza kutambulishwa. Ziara za maeneo yote hayo Mwigulu Nchemba alikwenda na Msaidizi wa Rais wa Maswala ya Siasa Ndugu Rajabu Luhwavi.

Taarifa zinasema kuwa ndg Luhwavi ndiye mtu anayesifika kwa mipango ya ushindi akiunganisha watumishi wote kumpigia Kikwete 2005. Taarifa za hivi karibuni zimesema Rais Kikwete amekuwa akiambatana na Mwigulu katika matukio mengi yanayowaleta marais wengi pamoja.

Mfano tar 18 feb Mwigulu aliambatana na Rais Kikwete kule Rwanda na kutambulishwa kwa Marais wote wa Afrika Mashariki. Pia kabla ya hiyo Rais kikwente alikwenda na Mwigulu Marekani na China kumtambulisha kuwa ni kijanqa mwenye uwezo wa kufanya mabadiliko kwenye uchumi wa nchi.

Hivyo hivyo Mwigulu alikwenda Msumbiji kupata uzoefu wa kuapishwa kwa Rais Nyusi wa Msumbiji. Jana Mwigulu Nchemba alipelekwa Namibia kwa ndege maalumu akiwa na ma Rais wastaafu ndg Ally Hassan Mwinyi wa Awamu ya Pili na ndg Benjamin Willium Mkapa wa Awamu ya Tatu.

Jicho la ndani la chombo chetu linasema, Marais hao wastaafu walikabidhiwa jukumubla kumtengeneza Mwigulu kuijua miiko ya nafasi hiyo kubwa. Kila mtu anaamini kuhusu uwezo wa Mwigulu wa kuongoza. Pia hakuna ubishi kuhusubu uthubutu wake. Vile vile hakuna ubishi kuhusu vision yake.

Jambo moja tu ni kumtengeneza kuwa na mkao wa nafasi hiyo jambo walilokabidhiwa wazee hao. Inasemekana wamekaa naye mara kadhaa kwa masaa kadhaa na wametoa taarifa kuwa Mwigulu ameiva kwa nafasi hiyo
Taarifa za Uchunguzi wa ndani zaidi zinasema Mwigulu alipelekwa kwa Mwalimu wa Siasa nayehusika na kufunda viongozi kuhusu hotuba na mwenendo wa kiuongozi na kwa kiwango kikubwa amefanikiwa kumbadilisha Mwigulu kwa uongeaji wake, mwenendo na mwonekano wake na kumfanya aonekane kiuongozi wake.

Kwa nguvu aloyonayo Mwigulu ndani ya chama na ndani ya Umma ni dhahiri sasa anakwenda kupokea kijiti. Dalili hizi zinasemekana ndizo zilizowafanya wasaka urais wengine wapige kambi kwa Katibu Mkuu Kinana amzuie Mwigulu Nchemba kufanya mikutano.

Ukweli unanykia kwa mbaaaaali
 
Wakikabwa majimboni... Wanakimbilia Urais.

Mwigulu hali mbaya Iramba.
 
Binafsi nianze kumpongeza DKT Mwigulu Nchemba kwa kazi yake kama mwanasiasa na gwiji wa mbinu za ushindi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Kwanini mwigulu Nchemba na VIjana wengine ndani ya CCM ni mmoja wa mtu wa mbinu hatari za ushindi tangu akiwa shule .kwa mwenye kumbukumbu nzuri huyu ndiye aliye kuwa master mind uchaguzi mdogo jimbo la Igunga hilo halina ubishi ,kwani ushindi wa DKT.DALALI ulichangiwa kwa kiasi kikubwa na mbinu za mtalaam huyu wa uchumi. kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015 kijana huyu alikuwa mwiba mkali saana kwa upinzani hili halina ubishi.

Hata hivyo jimboni kwake huwezi kutaja Iramba magharibi bila kumtaja mwigulu .anayedhani mimi mwongo asubiri huyu prof.uchwara Mkumbo kwani kama atajitokeza kumpinga mwigulu kuna uwezekano mkubwa kupoteza nafasi ya ukatibu mkuu wizara ya maji na kurudi kufundisha kama fani yake ilivyo.

MWIGULU NI NANI SUBIRI MAKALA ZIJAZO CCM OYEEEE MAGUFULI OYEEEEE
By mnkondya
0628227033
 
Back
Top Bottom