Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

Kwahiyo Zitto ndo anatuchagulia Rais?
 
Sii inafahamika muda mrefu kuwa Mwiguluuu ndo boss wake ZITTTO au unafikiri CDM ilimfukuzia nini ZZK, ni kutumika na CCM ambayo inawakilishwa na dogo Nchembaaa
 
Kuna maneno mengine ukiyasikia yanatia kinyaa. Unaposema kuwa Zitto anatajwa kuwa ndiye mwanasiasa bora, anatajwa na nani? Maana tupo tunaomwona kuwa ni mwanasiasa msaliti na mnafiki. Ungekuwa unaeleza ni nani wanaomtaja kuwa ni mwanasiasa bora. Usitoe sweeping statements. Watu makini huogopa sana kutoa sweeping statements.

 
Sii inafahamika muda mrefu kuwa Mwiguluuu ndo boss wake ZITTTO au unafikiri CDM ilimfukuzia nini ZZK, ni kutumika na CCM ambayo inawakilishwa na dogo Nchembaaa

Mbona hata diary ya Mbowe ameandika Mwigulu Nchemba is our next president
 
Hata bila ZZK kusema hivyo, hilo linajulikana kuwa Mwigulu ni mgombea urais, kwani alishatangaza nia yeye mwenyewe. Kuwa mgombea urais ni tofauti na kuwa rais, kama mnavyojua hata Dovutwa alikuwa mgombea urais!
Baada ya kikao cha jana cha Kamati ya PAC chini ya uenyekiti wa mh Zitto Kabwe Dodoma,
Mh Zitto Kabwe ametamka wazi wazi kuwa hata kama katiba ungemruhusu kugombea urais asingefanya hivyo kwani mh Mwigulu Nchemba atakuwa rais mwenye mafanikio makubwa na tija kwa taifa na wananchi wa tabaka zote kwa ujumla.
Mwigulu ni taswira mpya yenye matumaini mapya kwa taifa letu
 

 
Baada ya kikao cha jana cha Kamati ya PAC chini ya uenyekiti wa mh Zitto Kabwe Dodoma,
Mh Zitto Kabwe ametamka wazi wazi kuwa hata kama katiba ungemruhusu kugombea urais asingefanya hivyo kwani mh Mwigulu Nchemba atakuwa rais mwenye mafanikio makubwa na tija kwa taifa na wananchi wa tabaka zote kwa ujumla.
Mwigulu ni taswira mpya yenye matumaini mapya kwa taifa letu
 
mim hata sijausoma huu uzi mana nasikitishwa sana na WEHU au WAZIMU wa watz hiv vichangamoto vya uyu bwana ndugu ndo vimempa vigezo vya kutuongoza kwel nch hi haina viongoz na kama ingefaa tungeenda kenye au rwanda watuazime hata mmoja mwenye vigezo aje kutuondoza maana wao kwa sasa wana marais bora kabisa ila hapa kwetu sijaona labda kidogo MAGUFUL tena awe mgombea binafs mana hata vyama ni saratan ingine.
 
iko kwenye ukurasa wake wa facebook.

Hakuna kitu kule, nimeuliza hivyo baada ya kutoka kwenye ukurasa huo. Kule kaandika kuwa "mgombea urais ndani ya 18 za PAC" sasa hapo kuna statement ipi inayoonyesha kuwa amesema anamkubali Mwigulu katika wagombea wote? Huyu mleta uzi amesema alichotaka kusema yeye kwa kisingizio cha Zitto. Ikumbukwe kuwa katika vyama hasa CCM sasa hivi wanajitokeza "wagombea urais" ndani ya vyama vyao. Zitto kuandika hivyo hamaanishi kuwa huyo ndiye mgombea urais kupitia CCM mwakani...hapo status yake ni sawa tu na Pinda mzee wa kimya-kimya, Kigwangala, January Makamba, Wassira, Sitta, Membe, Lowassa, na wengine waliokwishajitokeza waziwazi au kimya kimya.
 
Mwigulu ndiye kiongozi pekee wenye taswira njema ya Urais wa Tz kwa utendaji wake ulio na uadilifu mkuu

Amefanya nini cha maana? Hali ya watanzania imeimarika baada ya yeye kuwa naibu waziri? Hospitali dawa na vifaa tiba vimeanza kupatikana baada ya yeye kuwa naibu waziri? Ufisadi na wizi wa fedha na ukwepaji kodi umepungua baada ya yeye kuwa naibu waziri. kifupi, nini kimeboreka katika maisha ya watanzania kutokana na nafasi yake hadi aonekane yeye ni wa tofauti?

I hate politicians. Nahisi nchi ingekuwa na neema kama kungekuwa na uwezekano wa kutokuwa na wanasiasa.
 
Nchi hii na watu wake wote wanaugua ugonjwa wa kifaduro
 

View attachment 201215
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…