Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

Jee kwenye tafiti za TWAWEZA kapewa asilimia ngapi? Au ndio kaangukia kwenye lile kundi la Others lenye asilimia 1.3 kwa ujumla wao?
Kumtaja Mwigulu na Urais ni sawa na ujuha uliopitiliza.
Maoni yangu juu ya 'kura ya maoni' juu ya uongozi wa Kisiasa iliyotolewa na Twaweza: Jana niliandika kwenye twitter handle yangu kuwa ni ngumu kuita hii kitu ya Twaweza inayojulikana kama Sauti za Wananchi 'Utafiti', at best would call it 'opinion polls'. Nadhani sikueleweka. Kisayansi 'utafiti' ule unapungukiwa vigezo vingi sana kiasi cha kuzua maswali mengi kwa msomaji makini kufikia kuhoji uhalali na nguvu ya kitakwimu (statistical power) ya matokeo yake. Wengi hawakunielewa zaidi niliposema kuwa matokeo yake ni mazuri kwangu kwa kila hali, kama nikitazama 'utafiti' ule kwa 'ubinafsi' wangu. Nadhani nawajibika kutoa maelezo zaidi ili nisieleweke vibaya na kwa lengo la kuweka kumbukumbu sahihi.

1. Kwanza ni kuwapongeza Twaweza kwa kuwa wabunifu katika kazi zao na kuamka kutumia njia za kisasa za kiteknolojia za kukusanya maoni ya wananchi kwa gharama nafuu na kwa haraka.

2. Kwa uelewa wangu utafiti una mapungufu makubwa kwenye namna watoa maoni wanavyopatikana kwenye tafiti hizi za twaweza zijulikanazo kama 'Sauti za wananchi'. Wamechaguliwa watu 2000 wakapewa simu bure na solar charger bure, halafu kila utafiti, kwenye kila issue huwa wanapigiwa hao hao kutoa maoni yao. Kwa utafiti huu waliotoa maoni ni 1445 kati ya walio katika mpango huu. Kuwapa hivyo vifaa kuna introduce ethical issues kwenye utafiti. Pia watafiti hawaelezi wanapataje watu 1445 kama ndiyo wawakilishi wa watanzania takriban milioni 45? Sampling frame ya 2000 ina sifa zipi na wanadhibiti vipi coverage bias na selection bias?

3. Pamoja na kwamba maoni ya hawa watu 1445 waliohojiwa hayakidhi vigezo vya kitakwimu vya kuwa generalizable kwa population yote, yanatoa mwangaza kuwa watanzania bado wana imani na CCM (chama changu), yanatoa picha kuwa kuna fursa pana kwa viongozi wa kizazi cha mabadiliko kuwania nafasi yoyote ile na kushinda kwa sababu, pamoja na umaarufu wa viongozi wa kizazi cha analogia, pamoja na kuwemo kwenye domain za umma kwa zaidi ya miaka 35, bado hawajaweza kuwashawishi watanzania kwa kiasi kikubwa! Kuna wengi kati yao hawajaamua wampe nani kura zao za Urais. Pia inatoa mwangaza kwamba kutakuwa na fursa pana kwa watu wapya kuingia majimboni na kutuamsha tuliopo sasa kukaa vizuri zaidi.

Japokuwa matokeo yanatupa moyo viongozi wapya kuendelea kujipanga, sitaki kutia wingu la 'ubinafsi' wangu kwenye maoni yangu kisayansi.

4. Ushauri kwa Twaweza: boresheni sampling technique ili ku-eliminate design biases na kuongeza authenticity, validity, reality na generalizability ya matokeo ya hizi tafiti zenu. Mkifanya hivyo mtakuwa mna tool nzuri sana ya utafiti wa kwenye jamii ambayo itasaidia sana kutupa taarifa wananchi na pia kuwezesha informed decision making.

Ahsanteni,
Dr. Hamisi Kigwangalla
Novemba 13, 2014.

watanzania bwanamuitaj prof. Anna tibaijuka ndo awe rais 2015 na sio vinginevyo
 
watanzania wanamuitaji prof. Anna tibaijuka ndo awe rais 2015 na sio vinginevyo
 
Hakuna lolote, juzi tu alikuwa mtukanaji mzuri na ropokaji, leo tu kapewa madaraka tayari keshakuwa mwerevu, watanzania tunadanganyika kirahisi sana ndo maana tutaendelea kulia maisha yetu yote na nchi wataipukutisha.
Pamoja na kwamba maoni ya hawa watu 1445 waliohojiwa hayakidhi vigezo vya kitakwimu vya kuwa generalizable kwa population yote, yanatoa mwangaza kuwa watanzania bado wana imani na CCM (chama changu), yanatoa picha kuwa kuna fursa pana kwa viongozi wa kizazi cha mabadiliko kuwania nafasi yoyote ile na kushinda kwa sababu, pamoja na umaarufu wa viongozi wa kizazi cha analogia, pamoja na kuwemo kwenye domain za umma kwa zaidi ya miaka 35, bado hawajaweza kuwashawishi watanzania kwa kiasi kikubwa! Kuna wengi kati yao hawajaamua wampe nani kura zao za Urais. Pia inatoa mwangaza kwamba kutakuwa na fursa pana kwa watu wapya kuingia majimboni na kutuamsha tuliopo sasa kukaa vizuri zaidi.
 
Hata angezaliwa kwenye ukoo wa Malaika,kama mtu aliyejiingiza kwenye SIASA za CHUKI na kuamua kuua watu wasiyo na hatia ,waliokuwa wanategemewa na ndugu jamaa na watoto wao au familia zao kwa sababu tu wanaunga mkono wapinzani kwa hakika siwezi kujifunza chochote kwake.

Nimekwambia kwamba kama unamkuwadia NCHEMBA basi mwambie pia pasipo haya akatuombe radhi watanzania aliotuchukia na anaoendelea kutuchukia na hasa watu wa kaskazini na hii siyo kwa Nchemba tuu ni kwa jumuia yote ya wanaCCM,mkitaka tuwaamini kwanza mkajutie dhambi zenu mlizotundea Watanzania tusio nahatia sababu tu tunaamini tofauti na mnavyoamini,tunaitikadi tofauti na itikadi yenu ya WIZI,UJANGILI,RUSHWA,CHUKI na ulipizaji visasi.

Mkituomba radhi ,pia mtuambie na sababu zilizowafanya mfanye kama mlivyofanya.Vinginevyo,hata ukipiga baragumu tumkubali huyo MUUAJI NCHEMBA halitasikika,kwetu sisi ni MUUAJI na tabaki kuwa MUUAJI,na hili siyo lakuambiwa limetoka ndani ya MOYO wangu,na ninakwambia ukweli wa dhati kabisa,ombeni radhi,na muache mara moja hizo siasa za chuki na mauaji., bila hivyo wewe,Nchemba na wenzako wenye kaliba ya NCHEMBA tutawaweka kwenye kundi la wa UAJI mapka pale mtakapoamua kujibadilisha kwa dhati na kuomba radhi kwa jamii ya kitanzania tulitendewa maovu sababi tu tuko tofauti nanyi.

Pole Acer,unajisumbua kunilazimisha kuamini kama uaminivyo sababu tu umepewa vijisenti umsafishe.Hakika kama alishindwa kujisafisha kwenye MTO hawezi kujisafisha kwenye DIMBWI akatakata.
 
Masikini nchi yangu... Handi Nchemba?... Allah nitoe roho niepuke hili balaa!!!!
 
tunataka rais mwanamke na awe msomi yani profesa na awe na uzoefu wa kimataifa kama prof. Anna kajumulo tibaijuka 2015
 
Wewe ndie unamkubali usijumuishe na wenzio kisa umepewa kitu upige debe... Eti mwigulu nae awe rais ptuuu!
 
BREAKING NEWZZZ KUTOKA DODOMA,SAA 12 JIONI YA LEO MACHO NA MASIKIO YOTE KUELEKEZWA BUNGENI DODOMA.

NI SAUTI YA MTETEZI WA WANYONGE NA MASIKINI ITAVUMA NCHI NZIMA.

CHUKUA NAFASI HIII KUUTAARIFU UMMA WA WATANZANIA KUWA MTOTO WA MFUGAJI NA SOKOINE WA PILI ANACHANGIA SAA 12 NDANI YA UKUMBI WA BUNGE.
Ni katika hoja ya sheria ya utawala wa Kodi.
Leo Naibu waziri wa Fedha ndg Mwigulu Nchemba ataongea bungen kuhusu sheria ya utawala wa kodi. Mwigulu amekuwa akipambana kufa na kupona kuhakikisha kodi inalipwa. Mwigulu ambaye agenda yake ya urais inalenga TAIFA kujitegemea kimapato ili kuwapa huduma watanzania masikini, ameonesha kwa vitendo kuwa ana dhamira ya dhati ya kuongeza makusanyo ili seikali itekeleze niradi ya maendeleo.
Mwigulu amekamata wakwepa kodi na sasa ametimiza ahadi yake kwa kufuta misamaha na sasa sheria imeletwa kuondoa kasoro za kisheria.
LICHA YA REKODI YA KIPEE KABISA yakuwa Waziri wa Kwanza Kupambana na Wakwepa kodi na Matumizi mabaya ya pesa za Umma,Mwigulu Nchemba pia ndiye Kiongozi pekee akiyeamua kusimamia Maslahi ya wanyonge na Masikini kwa nguvu zote.
HIVYO Watanzania hatuna sababu ya Kuacha Kumuunga mkono Mbunge huyu na Waziri huyu wa Taifa hili.
Songela Mwigulu Nchemba,GO GO GO GO GO

Tukutane saa 12 hii leo Tar.13.11.2014 kwenye TBC1 BUNGENI LIVE.
 
Ameweza kuwaambia wezi wenzake watuletee ripoti yetu ya IPTL?Kama bado basi hatufai hata kwa kuchunga panya.Nimekwambia hivi hata angetoka kwenye familia ya MALAIKA kwa tabia yake aliyotuonyesha ya UAJI,Chuki nk hataufanyeje sibadili msimamo wangu.

Nimekwambiaa masharti umwambia huyo nayejitahidi kumsafisha,mwambie kama alishindwa kusisafisha ZIWANI hawezi kwenye DIMBWI.Ni kama kambale anayeogelea kwenye tope.
 
BREAKING NEWZZZ KUTOKA DODOMA,SAA 12 JIONI YA LEO MACHO NA MASIKIO YOTE KUELEKEZWA BUNGENI DODOMA.

NI SAUTI YA MTETEZI WA WANYONGE NA MASIKINI ITAVUMA NCHI NZIMA.

CHUKUA NAFASI HIII KUUTAARIFU UMMA WA WATANZANIA KUWA MTOTO WA MFUGAJI NA SOKOINE WA PILI ANACHANGIA SAA 12 NDANI YA UKUMBI WA BUNGE.
Ni katika hoja ya sheria ya utawala wa Kodi.
Leo Naibu waziri wa Fedha ndg Mwigulu Nchemba ataongea bungen kuhusu sheria ya utawala wa kodi. Mwigulu amekuwa akipambana kufa na kupona kuhakikisha kodi inalipwa. Mwigulu ambaye agenda yake ya urais inalenga TAIFA kujitegemea kimapato ili kuwapa huduma watanzania masikini, ameonesha kwa vitendo kuwa ana dhamira ya dhati ya kuongeza makusanyo ili seikali itekeleze niradi ya maendeleo.
Mwigulu amekamata wakwepa kodi na sasa ametimiza ahadi yake kwa kufuta misamaha na sasa sheria imeletwa kuondoa kasoro za kisheria.
LICHA YA REKODI YA KIPEE KABISA yakuwa Waziri wa Kwanza Kupambana na Wakwepa kodi na Matumizi mabaya ya pesa za Umma,Mwigulu Nchemba pia ndiye Kiongozi pekee akiyeamua kusimamia Maslahi ya wanyonge na Masikini kwa nguvu zote.
HIVYO Watanzania hatuna sababu ya Kuacha Kumuunga mkono Mbunge huyu na Waziri huyu wa Taifa hili.
Songela Mwigulu Nchemba,GO GO GO GO GO

Tukutane saa 12 hii leo Tar.13.11.2014 kwenye TBC1 BUNGENI LIVE.
 
Wizi wa Pesa za EPA BOT zilifanyika 2006

mwigulu akiwa chuo pale UDSM anasoma na sio

mwajiriwa wa BOT. Wizi wa pesa za ESCROW ac

zimeliwa dec 2013 mwigulu hakuwa

wizarani.mwigulu ameingia wizara ya Fedha

mwaka huu mwezi wa pili ndio maana kafulila

alisema hata kifo cha Dk Mgimwa

kingechunguzwa maana pesa ya Escrow ililipwa

Dk Mgimwa akiwa hospital south Africa. Mwigulu

ndie Rais wetu 2015 na huwezi mchafua maana hachafuki.
 
Uzalendo sio kuzungumzia escrow tu!!! Kama watu wameshazungumza yeye nae azungumze ile iweje!!! Tusubiri report ndio utajua atazungumza au laaa!!! Sio kupigapiga makelele ili tu na wewe uonekane unajua issue ya escrow! !!
Kuna baadhi ya wabunge hata hio issue ya escrow hawaijui but mikelele tu na umaarufu wa kirahisirahisi
 
Na inaelekea ndiye aliyemmaliza Mgimwa wetu.Maana alianza kutoa ugonjwa ambao hata mwanafamilia aliyekuwa naye hospitali hakuujua,lakini Mwigulu aliujua.ndiyo hapo unapokuja sasa kuniamini kwamba Mwigulu ni muuaji tu hatufai hata kuchunga panya na sina uhakika kama hata huo UBUNGE atapata.

Mwenyewe umekaza kumpigia debe mpaka unatia huruma.Anakulipa shilingi ngapi?Au ndiye mwenyewe Mwigulu unajipigia debe.Poor your.Yaani kwanini usmfanye moja awe mumeo au kiongozi wa familia yako kama unamuona ni mzuri sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Pumbavu kabisa nyie watu mnaotumika mnashindwa hata kutumia akili zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…