Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

Unatokwa na povu tuu na umejaa ubabaishaji kama uliojaa Chagadema,ziara zote alizofanya mwaka jana unatueleza niza mwaka huu. Miezi mingine hata hatujafika,mbulula kweli.
 
BREAKING NEWS KUHUSU URAIS 2015, Urais ndani ya CCM ni Mwigulu Nchemba. (siri za vuja.)

Lile fumbo la nani atakuwa mgombea wa Urais kupitia CCM imeteguliwa baada ya SIRI kuvuja kuwa anayeandaliwa ni Mwigulu Nchemba. Taarifa za ndani tulizozipata toka kwa mjumbe mzito kwenye mfumo zinasema kuwa Mwigulu Nchemba ndio chaguo ndani ya CCM nakwamba sasa amekuwa akiitwa kwenye mikutano inayowaweka pamoja Marais wa Afrika na wengine Duniani ili apate kutambulishwa na kupata uzoefu wa mikutano mikubwa. Pia Mwigulu amepelekwa mataifa yote makubwa kwa siri kutambulishwa.

Mwaka jana tarehe 25 May 2015 alipelekwa China na kuonana na viongozi wa juu wa CPC chama kinachotawala china akiwepo I PING na Rais wa China Xi Jing Ping.

Tar 10 August 2015 Mwigulu Alipelekwa Uingereza kwa Siri na kutambulishwa kwa chama Labor na kuandaliwa mkutano wa Watanzania. Tar 25 Nov 2015 Mwigulu alipelekwa Marekani majimbo 25 na baadae kuonana na Obama kutambulishwa kwa magavana wa majimbo yenye nguvu.

Alipotoka kule Mwigulu alipelekwa Ufaransa na Ujerumani tar 3 Mwezi wa kwanza kutambulishwa. Ziara za maeneo yote hayo Mwigulu Nchemba alikwenda na Msaidizi wa Rais wa Maswala ya Siasa Ndugu Rajabu Luhwavi. Taarifa zinasema kuwa ndg Luhwavi ndiye mtu anayesifika kwa mipango ya ushindi akiunganisha watumishi wote kumpigia Kikwete 2005. Taarifa za hivi karibuni zimesema Rais Kikwete amekuwa akiambatana na Mwigulu katika matukio mengi yanayowaleta marais wengi pamoja. Mfano tar 18 feb Mwigulu aliambatana na Rais Kikwete kule Rwanda na kutambulishwa kwa Marais wote wa Afrika Mashariki. Pia kabla ya hiyo Rais kikwente alikwenda na Mwigulu Marekani na China kumtambulisha kuwa ni kijanqa mwenye uwezo wa kufanya mabadiliko kwenye uchumi wa nchi.

Hivyo hivyo Mwigulu alikwenda Msumbiji kupata uzoefu wa kuapishwa kwa Rais Nyusi wa Msumbiji. Jana Mwigulu Nchemba alipelekwa Namibia kwa ndege maalumu akiwa na ma Rais wastaafu ndg Ally Hassan Mwinyi wa Awamu ya Pili na ndg Benjamin Willium Mkapa wa Awamu ya Tatu.

Jicho la ndani la chombo chetu linasema, Marais hao wastaafu walikabidhiwa jukumubla kumtengeneza Mwigulu kuijua miiko ya nafasi hiyo kubwa. Kila mtu anaamini kuhusu uwezo wa Mwigulu wa kuongoza. Pia hakuna ubishi kuhusubu uthubutu wake. Vile vile hakuna ubishi kuhusu vision yake. Jambo moja tu ni kumtengeneza kuwa na mkao wa nafasi hiyo jambo walilokabidhiwa wazee hao. Inasemekana wamekaa naye mara kadhaa kwa masaa kadhaa na wametoa taarifa kuwa Mwigulu ameiva kwa nafasi hiyo
Taarifa za Uchunguzi wa ndani zaidi zinasema Mwigulu alipelekwa kwa Mwalimu wa Siasa nayehusika na kufunda viongozi kuhusu hotuba na mwenendo wa kiuongozi na kwa kiwango kikubwa amefanikiwa kumbadilisha Mwigulu kwa uongeaji wake, mwenendo na mwonekano wake na kumfanya aonekane kiuongozi wake.

Kwa nguvu aloyonayo Mwigulu ndani ya chama na ndani ya Umma ni dhahiri sasa anakwenda kupokea kijiti. Dalili hizi zinasemekana ndizo zilizowafanya wasaka urais wengine wapige kambi kwa Katibu Mkuu Kinana amzuie Mwigulu Nchemba kufanya mikutano.

Hapa unasema alipelekwa.....lakin tarehe ni za mda ambao hatujaufikia!!!!!!!
Kajifunze kutunga!
Tarehe 25 Nov. 2015 alipelekwa......!!!!! Are you serious?
 
Achane sifa za kisenge nendeni zenu na huyo mpuuzi wenu kodi bilioni 700 mnaona hela wakati nchi inazidi kuwa masikini
 
Sio ikulu ya DAR, labda kama CCM inaikulu huko mpeni, Robert PR utakuiacha dunia mwigulu hajawa rais TZ
 
Wasifu wa rais ajaye huu hapa
1. Ni mzawa halisi wa kitanzania kutokana na wazazi wake wote ni watanzania wakiwemo babu zake
2. Amesoma elimu ya msingi na sekondari katika shule zetu za kitanzania
3. Amelitumikia jeshi la wananchi watanzania, ambapo aliweka historia kwa kuongoza kikosi cha mizinga wakati wa mafunzo jkt
Huu ni ujasiri na uzalendo wa juu kwa nchi yake.
4. Amepewa cheo cha FIELD MASHO na amefanikiwa kufanya mafunzo muhimu ya kiulinzi na kiusalama toka vyuo bora vya kijeshi duniani katka nchi za Urusi, Cuba, USA, na UK. Mbali na mambo mengine ni kachero wa kimataifa.
5. Amefanikiwa kupata shahada yake ya kwanza na ya pili toka TANZANIA
6. Amepata makuzi yaliyojaa uadilifu kwani mbali na kutoka familia yenye legacy ni mtu wa kawaida sana kwani hana ardhi zaidi ya ile ya kurithi, anatembelea gari aina ya Noah, na hana miradi ya kibepari, anamiliki nyumba moja yenye vyumba 4
7. Ni rafiki mkubwa wa aliyekuwa rais wa Venezuela mwanamapinduzi Hugo Chavez, Fiedel Castro wa Cuba, Vladmir Putin wa Urusi, Familia ya F.Kenedy wa USA.
8. Katika Afrika ni swahiba wa Robert Mugabe, Yoweri Museveni, Thabo Mbeki n.k
9. Ameombwa na kushawishiwa sana kuwania nafasi hii kubwa kabisa ndani ya JMT kupitia viongozi wakubwa wastaafu, viongozi waadilifu wa kidini, na wanazuoni mahiri bado hajajibu mpaka sasa
10. Anabebwa na uadilifu/usafi kuliko yeyote mwenye ndoto na nafasi hii.
11. Anao ujasiri wa kukemea uovu ikiwemo rushwa na ufisadi ambavyo vimekuwa kansa ya uwajibikaji ndani ya serikali nchini.
12. Anajua vipaumbele vya watanzania.
13. Kiafya na kiumri anatosha kuliko mgombea yeyote ndio maana atafanya vipimo na kuomba watanzia wajulishwe.
14. Ni mtu wa maamuzi sahihi na kwa wakati yenye manufaa kwa taifa.

NB: Atafanya mhadhara Nkurumah UDSM akisindikizwa na Mzalendo na mwanamapinduzi Robert Mugabe, Wahadhiri nguli nchini, mawaziri wakuu wastaafu, marais wastaafu JMT na SMZ, Viongozi wa dini n.k.

Kuwa mzalendo, kataa kurubuniwa kwa fedha, kwani TANZANIA NI YAKO!!!!!!!!!!!!
1426628583806.jpg

1426628612668.jpg

1426628641401.jpg

1426628670644.jpg
 
So mwigulu was 17 in 1978, meaning amedanganya umri wake

Teh teh teh
 
Komando Kipensi AKA Gaidi Mwigulu.
 
BREAKING NEWS KUHUSU URAIS 2015, Urais ndani ya CCM ni Mwigulu Nchemba. (siri za vuja.)

Lile fumbo la nani atakuwa mgombea wa Urais kupitia CCM imeteguliwa baada ya SIRI kuvuja kuwa anayeandaliwa ni Mwigulu Nchemba. Taarifa za ndani tulizozipata toka kwa mjumbe mzito kwenye mfumo zinasema kuwa Mwigulu Nchemba ndio chaguo ndani ya CCM nakwamba sasa amekuwa akiitwa kwenye mikutano inayowaweka pamoja Marais wa Afrika na wengine Duniani ili apate kutambulishwa na kupata uzoefu wa mikutano mikubwa. Pia Mwigulu amepelekwa mataifa yote makubwa kwa siri kutambulishwa. Mwaka jana tarehe 25 May 2014 alipelekwa China na kuonana na viongozi wa juu wa CPC chama kinachotawala china akiwepo I PING na Rais wa China Xi Jing Ping.

Tar 10 August 2014 Mwigulu Alipelekwa Uingereza kwa Siri na kutambulishwa kwa chama Labor na kuandaliwa mkutano wa Watanzania. Tar 25 Nov 2014 Mwigulu alipelekwa Marekani majimbo 25 na baadae kuonana na Obama kutambulishwa kwa magavana wa majimbo yenye nguvu.

Alipotoka kule Mwigulu alipelekwa Ufaransa na Ujerumani tar 3 Mwezi wa kwanza kutambulishwa. Ziara za maeneo yote hayo Mwigulu Nchemba alikwenda na Msaidizi wa Rais wa Maswala ya Siasa Ndugu Rajabu Luhwavi. Taarifa zinasema kuwa ndg Luhwavi ndiye mtu anayesifika kwa mipango ya ushindi akiunganisha watumishi wote kumpigia Kikwete 2005. Taarifa za hivi karibuni zimesema Rais Kikwete amekuwa akiambatana na Mwigulu katika matukio mengi yanayowaleta marais wengi pamoja. Mfano tar 18 feb Mwigulu aliambatana na Rais Kikwete kule Rwanda na kutambulishwa kwa Marais wote wa Afrika Mashariki. Pia kabla ya hiyo Rais kikwente alikwenda na Mwigulu Marekani na China kumtambulisha kuwa ni kijanqa mwenye uwezo wa kufanya mabadiliko kwenye uchumi wa nchi.

Hivyo hivyo Mwigulu alikwenda Msumbiji kupata uzoefu wa kuapishwa kwa Rais Nyusi wa Msumbiji. Jana Mwigulu Nchemba alipelekwa Namibia kwa ndege maalumu akiwa na ma Rais wastaafu ndg Ally Hassan Mwinyi wa Awamu ya Pili na ndg Benjamin Willium Mkapa wa Awamu ya Tatu.

Jicho la ndani la chombo chetu linasema, Marais hao wastaafu walikabidhiwa jukumubla kumtengeneza Mwigulu kuijua miiko ya nafasi hiyo kubwa. Kila mtu anaamini kuhusu uwezo wa Mwigulu wa kuongoza. Pia hakuna ubishi kuhusubu uthubutu wake. Vile vile hakuna ubishi kuhusu vision yake. Jambo moja tu ni kumtengeneza kuwa na mkao wa nafasi hiyo jambo walilokabidhiwa wazee hao. Inasemekana wamekaa naye mara kadhaa kwa masaa kadhaa na wametoa taarifa kuwa Mwigulu ameiva kwa nafasi hiyo
Taarifa za Uchunguzi wa ndani zaidi zinasema Mwigulu alipelekwa kwa Mwalimu wa Siasa nayehusika na kufunda viongozi kuhusu hotuba na mwenendo wa kiuongozi na kwa kiwango kikubwa amefanikiwa kumbadilisha Mwigulu kwa uongeaji wake, mwenendo na mwonekano wake na kumfanya aonekane kiuongozi wake. Kwa nguvu aloyonayo Mwigulu ndani ya chama na ndani ya Umma ni dhahiri sasa anakwenda kupokea kijiti. Dalili hizi zinasemekana ndizo zilizowafanya wasaka urais wengine wapige kambi kwa Katibu Mkuu Kinana amzuie Mwigulu Nchemba kufanya mikutano.
 
Hizo habari zinqsambaa sana leo kwene mitandao
Ngoja tuone muvie itakavyokua
 
Back
Top Bottom