Huyu ndiye Padri Privatus Mutekanga Karugendo (1956-2021)

Angalia askofu alivyonasa maungamo ya huyu aliyepigwa chini upadrisho, katika kumtia hatiani.
 
Sijui aliwaza nini huyu aliyekuwa Mtumishi wa Mungu kutumia jina la jinsia nyingine.
lakini mbona mimi bado naona beatrice yupo hospital?!..
sitaki kuamini kama mtu aliyeheshimika kwenye fasihi kama huyu alidiriki kujianonymousisha kiasi cha kujibitrisisha aisee..
 
Mkuu, na wewe unahukumu kwa kusikiliza upande mmoja? Hayo ni matumizi ya hisia badala ya kutumia akili.
 
Nimeona hapo huyo padre alipotumia toba ya mwenzake kumuangamiza, ni vyema toba ielekezwe kwa Mungu moja kwa moja na sio kwa mtu wa pili aifikishe.
Mwenyezi Mungu hamchukii mwanadamu mpk asimkubalie toba yake moja kwa moja
Hapo askofu ndio ana makosa. Mie miaka yote nlosoma seminarini tumeambiwa hata kama mtu akiua na akapelekwa mahakamani kama alitubu kwa padre yyt basi huyo padre hana ruhusa ya kutumia maungamo ya mshitakiwa kama ushahidi, na hili liko wazi kabisa.

Tatizo kwenye kanisa katoliki hakuna demokrasia, siku ukilala pale chini mbele ya altare na ukapewa upadri basi ndio mwisho wa uhuru wako, coz kiongozi alie juu yako anaweza kutumia chuki tu kwako na huna la kufanya.
 
Ndiye aliyetuaga kwa jina la Beatrice Kamugisha?Apumzike kwa amani mwandishi na mchambuzi nguli
 
Hata mie ambaye sijasoma seminary nafahamu hivyoo [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
Hata mie ambaye sijasoma seminary nafahamu hivyoo [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Yeah.

Sasa hapo kinachonishangaza ni huyo askofu coz yy ndie muungamishaji na yy ndie mfungua mashitaka. No wonder walirusha steps hio kesi na ku-skip tribunal ya kwanza. Ila kwa mtu ambae ameshakaa kwenye system ya katoliki hatoshangaa sana coz kama nlivyosema mwanzo 'hakuna demokrasia' na kizuri unafahamishwa hilo kabla kabisa kwenye viapo vyao hasa kile kiapo cha utii.
 
Yesu mwenyewe unaesema unamuamini ndie alietoa hayo mamlaka kwa mapadre. Rejea biblia Yesu alimwambia Mtume Petro na wenzake 11"...Pokeeni Roho mtakatifu, lolote utakalofunga duniani limefungwa mbinguni na lolote utakalifungua limefunguliwa..."

Na huo ndio ukawa mwanzo wa upadre na mamlaka yote hayo. Sasa namna ya waliopewa mamlaka wanavyoyatumia mamlaka hayo sio juu ya waumini bali ni haohao na Mungu wao, waumini wanaamini mafundisho ambayo nivya Yesu mwenyewe, hivyo kuungama ni kufuata maelekezo ya Yesu mwenyewe, hao wanao-misuse madaraka yao waliopewa kwa kutoa siri za vitubio wana portion yao.
 
Huu ulikuwa mwanzo wa kuanzishwa Kanisa la Anglikana (The Anglican Church au The Church Of England).
Upo sahihi mkuu.
Kwahiyo kuna kila dalili ya upotoshaji wa makusudi kwa lengo la kufanya watu fulani waonekane walistahili haki kinyume na wengine.
 
Njia ya kumwaga nje hairuhusiwi. Njia ya calendar ina ufanisi wa zaidi ya 86%. Usipoifuata ni kwa sababu umeamua kutenda dhambi.
Una uhakika gani kwamba njia ya kalenda inaweza epusha matatizo ya kiafya. Mama aliyejifungua watoto watatu kwa upasuaji, akaambiwa asibebe mimba tena kwani kujifungua inahatarisha uhai wake. Huyu unamtaka atumie nini ili kuhakikisha hapati ujauzito. Hiyo kalenda ushasema ni effective 86%, huoni ni hatari kwake kuishi miaka nenda rudi kwa kutumia kalenda isiyo na ufanisi?
 
Kama ingekuwa kweli basi Askofu Severine Niwemugizi angekuwa excommunicated automatically.

Kuna upotoshaji mkubwa na wa makusudi kwenye andiko hili. Lakini pia andiko hili linaonesha ni kweli marehemu alipigia chapuo matumizi ya kondomu kinyume na mafundisho mama ya Kanisa.

Haihitaji PhD kujua ni upande upi haukuwa sahihi na upi upo sahihi katika hili.
 
Kama mseminari, ni imani yangu umefundishwa kutokutoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja.

Hizi ni tuhuma ambazo hata marehemu alishindwa kuzithibitisha kuwa Askofu Severine Niwemugizi aliinajisi Sakramenti Takatifu ya Kitubio. This would have automatically excommunicated his grace the bishop.

Kanisa Katoliki linaamini fully katika Theocracy, yaani maongozi ya Mungu, na kwa kiwango kidogo Demokrasia isiyopingana na maongozi ya Mungu.

You should live to the standard required and expected of a seminarista. That was a bit short of you.
 
Hakuna contraceptive ambayo ni 100% effective.
 
Hii kesi nimeanza kuisikia tangu nikiwa seminari ndg.

Nimefuatilia pande zote mbili na kusoma baadhi ya machapisho yao kwenye magazeti mbalimbali. Zaidi zaidi nimesikia hadi maoni ya baadhi ya members of clergy kuhusu hii issue. Kiufupi bado ilikua na mixed feelings sana.

Unaposema nmesikiliza upande mmoja unakosea sana.

Anyway hio ni view yangu khs hio issue, naheshimu view yako pia.

Ila nikuulize swali, kwa nn kesi ilirushwa step?, kwa nn the late hakusikilizwa kwa namna inavyopaswa?, Barua yake ya kuomba idhini ya kufungwa ndoa iliandikwa na nani na kupelekwa kwa balozi bila the late kujua?

Na kumbuka Papa kiukweli hatoi hukumu, yeye anaidhinisha tu hukumu, coz kama unajua structure ya katoliki nadhan unafahamu kwamba majimbo yanaruhusiwa kujiendesha independently kwa baadhi ya mambo, then wanaomba tu idhinisho la papa. Na papa aliidhinisha kitu ambacho amepelekewa tu na hao wasaidizi wake, hivyo kama ilitumiwa chuki basi Fr Karugendo alikua hana cha kufanya ila kusubiri tu hukumu coz wakubwa ndio wanaamua Papa aone nini na nini?

Kama nilivyosema sina authority yyt kujudge hii issue ila kwa view yangu hii ilikua ni unfair play.

Kama Fr Karugendo alitolewa kwa kosa la adultery basi na bishop ilibidi awe responsible, au watoe ushahidi kwamba nje ya kitubio cha Fr Karugendo nini zaidi kilifanya authority ijue kama Fr Karugendo alifanya hilo kosa?

Double standards, Autocracy ndio matatizo huko RC.
 
Rest in Peace Mr. Karugendo.

Ukishajua Mungu hayupo na hizi dini ni biashara za watu tu, huwezi kusumbuliwa na hii migogoro.

Yani watu wanakufa kwa UKIMWI, wanashindwa kujizuia kuacha ngono, kanisa linakataza condom!
We mzee wewe unapambana na hoja ya Mungu hayupo mpaka lini? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
You should live to the standard required and expected of a seminarista
The are standards, ila kuna brainwashing na blindness ambazo haziwezi kuwa na nafasi kwangu. I have been there fellow na bado niko mkatoliki kwa sababu najua tofauti kati ya Imani ya katoliki na uongozi wa katoliki.

Blindness na brainwashing sio standards mkuu.
 
Wakati mnawaua wanasayansi kama Galileo Galilei na baadaye John Paulo ll kuja kuomba radhi bado tu haujatikisha dish kujua Kanisa lenu lina mambo ya Hovyo?

Hayo mashirika ya siri yaliyojazana humo kwenu mfano wa Jesuits mnadhani ni jambo la Kimungu?

Mauzo ya Hati ya Msamaha iliyotajirisha Kanisa lenu bado tu unataka kusikiliza upande wa pili?

Tubuni mkasafishwe na Damu ya Yesu ili muokolewe
 
Mkuu kosa la padre kufundisha kinyume na mafundisho ya kanisa adhabu yake sio direct excommunication, cannon law haisemi hivyo.

Kutokana na nilichofundishwa Iko hivi, kwanza muhusika anapelekwa kwenye kamati maalum ili akili kama kweli alikosea au la, (huko Fr Karugendo hakufikishwa) refer kesi ya Martin Ruther uone mfano wa hii kesi in action.

Kama mhusika atakomalia msimamo wake kwa hoja ambazo hazina mashiko ndipo atapewa excommunication, lkn kama akikubali baada ya majadiliano kuwa alikosea basi hatopewa excommunication.

Usiangalie mambo juujuu hivyo mkuu


Haihitaji PHD kuona hio kesi ilipindishwa.
 
Kutubu makosa kwa BINADAMU MWENZIO ni udhaifu wa Waz wa Dini ycca wakatoliki inashangaza sana wasomi Hawa wa level zga PhD kuendekeza upuzi huu
Mtu unafanya makosa sirini Kisha unakuja yaanika katika kadamnasi na maadcui zako wanatumia udhaifu huo kukuchapia

Nitatubu mbele ya Mola wangu tuu ni yeye tuu anaejua cri na. Mapungufu YANGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…