Huyu ndiye Padri Privatus Mutekanga Karugendo (1956-2021)

Huyu ndiye Padri Privatus Mutekanga Karugendo (1956-2021)

Yaani wanakuwaga na majina Fulani ya kipekee Sana halafu ya kiingereza sijui wanayatoa wapii?[emoji1]
Mara nyingi ndugu, jamaa na majirani wanakuwa wanayatumia Kwa sana hivyo mtoto akizaliwa yanakuja tu automatic, Kuna jina lingine Audax pia sijawahi ona kabila lingine

Ukiingia Usukumani Kuna jina la kike moja maarufu sana "Caflene wenyewe wanamwita Kefuu na kama Dodoma jina la Jailos na Job
 
Back
Top Bottom