Petro alikuwa na mkewe.
Pia neno Askofu kwenye Agano Jipya anatajwa kama Baba mwangalizi. Mtu mwenye mke wake.....
Ni Paulo pekee ambaye hakuwa na uwezo wa kuwa na mwanamke.
Turudi kwenye Kanisa. Je mnavyoabudu sanamu ni agizo kutoka kwa nani?
Nani aliwaambia kwamba Yesu hakuwa na wadogo zake tumbo moja?
Hakuna mahala ambapo Yesu aliagiza kwamba ukitaka hitaji kwa Mungu basi uombe kwa jina lingine zaidi ya Yesu.
Yesu ni line ya Daudi lakini kumbuka Maria siyo line ya Daudi.
Ninamuomba Roho Mtakatifu akufungue ufahamu wako uelewe haya ninayokueleza. Kumbuka Yesu alisema, njia ya Mbinguni wanaoiona ni wachache na wachache zaidi ndo wanaoipita. Sasa jiangalie vizuri kwenye kujifarijia kwenu kwa bandia mnajikuta mnaingia motoni kwa maelfu.
Yesu alisema ukishakufa unaenda peponi au jehanamu. Lakini wapagani wakaja na kitu kinaitwa toharani.
Shetani ameweka kiti chake pale Vatican ndo maana katoliki na umafia havijaachana.
Tafuta kweli ya Mungu, acha zako hizo
Nimekwambia nipe maana ya "kuabudu sanamu" kulingana na maandiko ya Agano jipya, bado nasubiri jibu hapa.
Petro na hao wengine unaosema walikuwa na wake sawa, walikuwa nao, lakini hawakwenda na hao wake zao kutangaza injili, Petro anamwambia Yesu tunaacha familia zetu na vyote huko tuendako tutapata nini, Yesu anawajibu kuna uzima wa milele (ukitaka mstari wa andiko utapata).
Askofu kuitwa "Baba" kulingana na maandiko ya Agano Jipya kama unavyosema coz ana watoto unakosea, yule ni "Baba" wa kiroho, sio Baba wa mwilini kama unavyofikiria, Biblia inazungumzia vya rohoni sio mwilini, haya mawazo potofu yamekujaa ndio maana unaona kuzaa au kuwa na mwanamke kwako ni kila kitu, wacha haya mawazo ya mwilini utaangamia.
Yesu anawaaga wanafunzi wake baada ya kukufuka, anawaambia "pokeeni roho mtakatifu mtakaowaondolea dhambi wataondolewa, na mtakaowafungia watafungiwa" hapa Yesu alikaimisha mamlaka yake kwa wanafunzi wake ambao ndio hao mapadri wa leo, ukitaka sawa ukigoma sawa pia.
Unasema shetani ameweka kiti chake pale Vatican; nakuhurumia sana, maandiko yanasema "usihukumu usije kuhukumiwa", mtu wa aina yako ndio unaniombea roho mtakatifu anifungumie mimi!, wewe kipofu huwezi kunifundisha mimi sio kipofu kama wewe, Yesu alisema kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzie wote watatumbukia, poleni na Karugendo wako.
Soma biblia itafsiri uielewe, kama hujaelewa mahali tafuta mtu umuulize, ukikurupuka ndio kichwa kinakujaa unajiona unajua zaidi ya wote, una "HAKI" kushinda wengine, mpaka unahukumu, utaangamia.