Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Tusilifuate kabisa, kama tunabagua vitu vya kufuata.Tunafuata lkn Bible imeweka wazi kuwa Agano la Kale lishakuwa kuukuu na lishachakaa likaribu na kutoweka kwenye matumizi
Ni Mungu ndiye aliwaambia wanawe waungame dhambi kwa kuhani ( kwa mujibu wa bible).
Kama umechagua vitu kwenye bible vya kufuata na mwingine akichagua vyake usimuone wa ajabu.