Huyu ndiye rafiki na kipenzi cha maisha yangu

Huyu ndiye rafiki na kipenzi cha maisha yangu

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Sina hela, sina kazi, ma HR wa humu JF nao hawataki kutushika mikono wenzao ili nasi tuwe binadamu kama wao,yani kwa kifupi ni fully vurugu tu.

Nimeamua huyu jamaa ndiyo awe rafiki kipenzi wa maisha yangu.

Asante

20220328_200202.jpg
 
Hela za kuwa rafiki na huyo bwana Valeur unapata wapi? Au ndo unadanga kipro max au mario mjanja?
 
2500 x 4 = 10000, kama unakunywa mara nne kwa week.

kwa mwezi 40,000tsh

umeshawahi kuuliza wale wanaotembeza njegere na samaki mtaani mtaji wao ni kiasi gani?
Au ndio watakuonaje?
 
Hongera ,kama unauwezo wa kushika 2500 ya hiyo kitu kwa siku inamaana unamudu maisha .Achana na ma-HR komaa tu na mtaa
 
Back
Top Bottom