Ndiyo Ukweli Wenyewenakazia wataachana tu
Kuwa makini usiwe unakunywa kila siku, utakuwa na high tolerance na utaanza kuwa mlevi na siyo mnywaji tena.Sina hela,sina kazi,ma HR wa humu jf nao hawataki kutushika mikono wenzao ili nasi tuwe binadamu kama wao,yani kwa kifupi ni fully vurugu tu.
Nimeamua huyu jamaa ndiyo awe rafiki kipenzi wa maisha yangu.
Asante
View attachment 2167385
Achana na hiyo,kunywa Ile yenye fuvuSina hela,sina kazi,ma HR wa humu jf nao hawataki kutushika mikono wenzao ili nasi tuwe binadamu kama wao,yani kwa kifupi ni fully vurugu tu.
Nimeamua huyu jamaa ndiyo awe rafiki kipenzi wa maisha yangu.
Asante
View attachment 2167385
Hakika, si kwa tabu za nchii na mateso tunayopitia watanzania ni mwendo wa kulamba adi kaka yake na huyo rafiki yako yaan wakina ambience, na wakina shimhua.Sina hela,sina kazi,ma HR wa humu jf nao hawataki kutushika mikono wenzao ili nasi tuwe binadamu kama wao,yani kwa kifupi ni fully vurugu tu.
Nimeamua huyu jamaa ndiyo awe rafiki kipenzi wa maisha yangu.
Asante
View attachment 2167385
Ana kipato cha zaidi ya USD 1.Hongera ,kama unauwezo wa kushika 2500 ya hiyo kitu kwa siku inamaana unamudu maisha .Achana na ma-HR komaa tu na mtaa