Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu ni mtu muhimu sana kati ya Rais na vyombo vya habari.
Mtakumbuka Rais Samia alivyoingia tu madarakani alimteua Jafari Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu kabla ya kumtengua na kumteua Zuhura Yunus.
Baadae akamteua Sharifa Nyanga kuchukua nafasi hiyo muhimu.
Ila wengi wetu hatujawahi kumuona Sharifa Nyanga.
Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na picha yake, nikasema niwaletee wana JF na nyie mumfahamu.