AiseeeShe is ugly
AiseeeShe is ugly
Anao uwezo huo? Uzanzibari na hiijabu ndiyo imemuweka hapoKumbe ndiye huyo!
Mbona huwa hafanyi press conferences?!
Hujatutendea haki, umetoa picha nusu na ukakata sehemu muhimu yaani chakula ya machoMkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu ni mtu muhimu sana kati ya Rais na vyombo vya habari.
Mtakumbuka Rais Samia alivyoingia tu madarakani alimteua Jafari Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu kabla ya kumtengua na kumteua Zuhura Yunus.
Baadae akamteua Sharifa Nyanga kuchukua nafasi hiyo muhimu.
Ila wengi wetu hatujawahi kumuona Sharifa Nyanga.
Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na picha yake, nikasema niwaletee wana JF na nyie mumfahamu.
View attachment 3288879
Ni ngumu kuamini hilo!Namfahamu ni classmate.
Kwanini ndugu katika kalamu?Ni ngumu kuamini hilo!
ShiloleKibonge mwepesi 😂
Mama ameamua mambo yasiwe mengi, aache kutafuta kiki kwa sababu zisizo na msingi akaamua kumpandisha cheo tuu.
Mbona mzuri tu. Hana mkorogo kama cocasticShe is ugly
Ayatollah Idi Amini mamaThe Islamic Republic of Tanzania, he said.