Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Kwanini usimpost picha yake aliovaa hijab?Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu ni mtu muhimu sana kati ya Rais na vyombo vya habari.
Mtakumbuka Rais Samia alivyoingia tu madarakani alimteua Jafari Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu kabla ya kumtengua na kumteua Zuhura Yunus.
Baadae akamteua Sharifa Nyanga kuchukua nafasi hiyo muhimu.
Ila wengi wetu hatujawahi kumuona Sharifa Nyanga.
Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na picha yake, nikasema niwaletee wana JF na nyie mumfahamu.
View attachment 3288879
The Islamic Republic of Tanzania, he said.Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu ni mtu muhimu sana kati ya Rais na vyombo vya habari.
Mtakumbuka Rais Samia alivyoingia tu madarakani alimteua Jafari Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu kabla ya kumtengua na kumteua Zuhura Yunus.
Baadae akamteua Sharifa Nyanga kuchukua nafasi hiyo muhimu.
Ila wengi wetu hatujawahi kumuona Sharifa Nyanga.
Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na picha yake, nikasema niwaletee wana JF na nyie mumfahamu.
View attachment 3288879
😄😁😂😒😄😁😂😂😁Mwamshamba hajamjua bado huyo , akimjua tu anaanza kumchawa chawa
Hahahaha. Hakuna binadamu ugly mweshimiwa.She is ugly
Jike la shoka.Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu ni mtu muhimu sana kati ya Rais na vyombo vya habari.
Mtakumbuka Rais Samia alivyoingia tu madarakani alimteua Jafari Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu kabla ya kumtengua na kumteua Zuhura Yunus.
Baadae akamteua Sharifa Nyanga kuchukua nafasi hiyo muhimu.
Ila wengi wetu hatujawahi kumuona Sharifa Nyanga.
Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na picha yake, nikasema niwaletee wana JF na nyie mumfahamu.
View attachment 3288879
Ameshiba hela zetu eeeh mpaka kanenepa yaani😄😄😄Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu ni mtu muhimu sana kati ya Rais na vyombo vya habari.
Mtakumbuka Rais Samia alivyoingia tu madarakani alimteua Jafari Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu kabla ya kumtengua na kumteua Zuhura Yunus.
Baadae akamteua Sharifa Nyanga kuchukua nafasi hiyo muhimu.
Ila wengi wetu hatujawahi kumuona Sharifa Nyanga.
Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na picha yake, nikasema niwaletee wana JF na nyie mumfahamu.
View attachment 3288879
Zile press zilikuwa za kiki tuuKumbe ndiye huyo!
Mbona huwa hafanyi press conferences?!