Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Kwa sababu ni mzaliwa wa marekaniKwann hakuzikwa Hong Kong?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu ni mzaliwa wa marekaniKwann hakuzikwa Hong Kong?
unamuiliza nanii?Ww ndo mkojani ...?
alikuwa mtu wa maajabu!Sijawahi kuzipenda wala kuzielewa muvi za huyu jamaa
Kaangalie movies za cartoons hizo ndo zako utazielewq mkuu.Sijawahi kuzipenda wala kuzielewa muvi za huyu jamaa
Shida ya kujifanya mjuaji, unachopenda wewe unafikiri kila mtu anakishobokea?Kaangalie movies za cartoons hizo ndo zako utazielewq mkuu.
Hapana, movie zake ni local sana, ni mara mia niwaangalie Jet Lee, Do Yen na Jack Chanalikuwa mtu wa maajabu!
Sasa kihere here cha nini kama mtoto wa kike kuja kukoment kwenye kitu usichokipenda?Shida ya kujifanya mjuaji, unachopenda wewe unafikiri kila mtu anakishobokea?
Utakuwa ni mshamba sana daaah[emoji848][emoji848]Sijawahi kuzipenda wala kuzielewa muvi za huyu jamaa
[emoji122][emoji122] tena kwa mwanaume inashangaza[emoji849][emoji849]Kaangalie movies za cartoons hizo ndo zako utazielewq mkuu.
Anamtindio wa ubongo[emoji122][emoji122] tena kwa mwanaume inashangaza[emoji849][emoji849]
Waliiweka kwa air condition uvumi unasema hivyo.Hapa nimekuelewa mkuu, kwa hio walimpa sumu?
Kwa hio walimpitishia hewa ya sumu ikaenda kusababisha madhara kwenye ubongo,? Maana amekufa kwa edemaWaliiweka kwa air condition uvumi unasema hivyo.
Ndio kwenye chumba chair cha mazoezi.Kwa hio walimpitishia hewa ya sumu ikaenda kusababisha madhara kwenye ubongo,? Maana amekufa kwa edema
Daaah sababu nini hadi wakamfanyia hivyo?Ndio kwenye chumba chair cha mazoezi.
Aliuchukua utamaduni wa china akaupeleka kwa wazungu.Daaah sababu nini hadi wakamfanyia hivyo?