Huyu ndiyo Bruce Lee

Huyu ndiyo Bruce Lee

BRUCE LEE aliweka rekodi ya dunia baada ya kupiga push up 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja na kurusha punje ya mchele hewani na kuidaka kwa kutumia kijiti chembamba Cha kulia chakula(chop stick).
BRUCE LEE alizaliwa tarehe 27 november 1940 California marekani na alifariki tarehe 20 July 1973 Hong Kong akiwa na miaka 32.


Bruce lee alikua mwenye kiburi, jeuri na kujisikia saana.. alijiona ndo mover wa chinese movie industry.. na hii ndo ilipelekea mwisho wake
 
Inasemekana wale Mashaolin wa Kichina hawakupendezwa na Bruce Lee kuwafundisha wazungu The heart of martial arts ambayo kimsingi ni Chinese traditional.

Kuna kila aina ya ushahidi Bruce Lee aliuwawa.
Alikua mtu mwenye Ego na Aura sana.. hiyo iliwakwaza wachina wenzie..
 
Bruce alikuwa mmarekani mwenye asili ya china because USA KWAKE NI COUNTRY OF BIRTH NA CHINA NI COUNTRY OF HIS ORIGIN MKE WAKE LINDA LEE NI MZUNGU MWANAE WA KIUME ALIKUFA BRANDON LEE WA THE CROW KWAIYO KABAKI BINTI YAKE NA MKE WAKE TU
Pia inasemekana Brandon Lee aliuwawa ili kuondoa kizazi cha Bruce Lee
 
BRUCE LEE aliweka rekodi ya dunia baada ya kupiga push up 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja na kurusha punje ya mchele hewani na kuidaka kwa kutumia kijiti chembamba Cha kulia chakula(chop stick).
BRUCE LEE alizaliwa tarehe 27 november 1940 California marekani na alifariki tarehe 20 July 1973 Hong Kong akiwa na miaka 32.

BRUCE LEE nguvu ya ngumi yake(punching force) ilikuwa na kilo 158 sawa na MOHAMMED ALI,lakini maajabu Bluce Lee alikuwa na kilo 58 na Mohammed ali kilo 117.

Bruce Lee alikuwa na uwezo wa kupiga ngumi Tisa kwa sekunde moja, na ngumi yake ya inchi moja(one inch punch)ilikuwa na uwezo wa kumrudisha nyuma mita 5-6 mwanaume mwenye kilo 68.

Alikuwa na uwezo wa kupiga mateke Tisa kwa sekunde moja,alipiga teke kiroba Cha mchanga chenye kilo 135 na kuruka urefu wa futi tano kwenda juu.Alikuwa na uwezo wa kufungua kizibo Cha soda kwa kutumia vidole viwili.
Aliweka rekodi ya dunia kwa kupiga push up 1500 kwa mikono miwili bila kupumzika,push up 400 kwa mkono moja,push up 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja,na push up 100 kwa kidole gumba Cha mkono moja.
Bruce Lee alikuwa mchina wa Kwanza kurekodi filamu Hollywood marekani.katika sanaa ya kupigana(martial art)Bruce Lee pekee ndiye alievunja rekodi ya dunia mara kumi ndani ya miaka 2 tu.

20221110_223002.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa huyu Jackie Chan ndo mkweli kuliko Donnie Yen na Jet Li.

Jackie Chan huwa hadi anaumiaga karibu kufa kwenye stunts zake

Jackie ni mkongwe sana alionekana kwenye movie mbili za Bruce Lee zinaitwa Fist of Fury na Enter the Dragon
Fist of fury? alionekana pale makaburini kwenye kumzika teacher au?
 
Back
Top Bottom