Huyu ndiyo Bruce Lee

Huyu ndiyo Bruce Lee

Fah_NF6UsAASalv.jpeg

Kama hii iko konki mno. Ni sawa na Ile kuwa " I count him braver who conquers his mind/himself/internal battle than the one who conquer his enemy. Since the greatest victory is to win your souls/emotions. Huyu aliongea Socrates before Jesus ya Kuja.
Na yeye masihi alipokuja alidai kuwa kikuingiacho sio najisi Bali kikutokacho ndicho kikutuacho unajsi.
Ni sawa na action is only 5% and reaction is 95% ya total outcome/life or success.
Ama success is only 5% strategy na 95% is mindset yako.
Mana wewe ndiye unayetoa jawabu la mwisho. Mfano mtu amekutukana,amekupiga,akakuibia,akakuibia mpenziwr,umefilisika,umefukuzwa job, umepoteza hela hapa kila mtu atakuwa na reaction yake. Mfano Michael Jordan baada ya kukatwa tokea kwa timu ya high school basketball alijifungia ndani akalia baada ya hapo najua kilichotokea.

Kuna mwingine anafukuzwa kazi ndio chanzo Cha mafanikio mwingine anaenda kuwaroga ama kulilia. Binafsi negative huwa kwangu Ni mtaji mkubwa mno.
Fah_NF6UsAASalv.jpeg
 
The Battle is already lost once you allow your opponent into your mind space .

Jitahidi usimruhusu. Hii wanaitumia mno wanamichezo kuwaudhi wachezaji wengine ili wapatwe na emotions za hasira tayari wanapoteza gemu Kama wacheza ngumi. Muhammad Alli alikuwa anampiga opponent wake baadaye anamfanyia maudhi anampelekea uso kuwa aupige
 
FePV14cVIAEZ8b5.jpeg

Huwezi elewa Mana huumwi huo ugonjwa so dawa hiyo huwezi uhitaji na haina Msaada kwako. So itabidi uumwe kimakusudi ili uwe na haja ya dawa kweli.

Walio wagonjwa hawamhitaji daktari Bali wagonjwa ndio wanaomhitaji
 
Bruce lee alikua mwenye kiburi, jeuri na kujisikia saana.. alijiona ndo mover wa chinese movie industry.. na hii ndo ilipelekea mwisho wake

Kweli mkuu huyu jamaa hana Tofauti na Nape nauye,nimeangalia Interviews zake akiojiwa jamaa alikuwa anajiskia sana.
 
Kweli mkuu huyu jamaa hana Tofauti na Nape nauye,nimeangalia Interviews zake akiojiwa jamaa alikuwa anajiskia sana.
This is the nature of any human being,iyo Ni ego ndiyo unamuangushia mtu na sio lolote. Hata wewe ukiweza kuhonga milioni Kama vile unahonga alfu moja lazima kauli zako zitabadilika kwa wanaume. Kuwa mie naona ufahari mno kuombwa hela na mpenzi wangu by vunja Bei na ilhali anatoa laki masista duu wanalalamika kuwa natembea na bilionea napewa laki.walitegemea hata milioni 200 hivi,,
 
Wakuu sekunde hii hii ya leo au miaka hiyo sekunde ilikua inehesabika tofauti??

Ngumi nzito zenye kumsukuka mtu mzima umbali fulani, ndoige 6 kwa sekundee.???

Jamaa alikua jini au binadamu kama sisi? Kuna yeyote aliewahi walau kuikaribia hiyo rekodi??
 
Back
Top Bottom