Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Kama hii iko konki mno. Ni sawa na Ile kuwa " I count him braver who conquers his mind/himself/internal battle than the one who conquer his enemy. Since the greatest victory is to win your souls/emotions. Huyu aliongea Socrates before Jesus ya Kuja.
Na yeye masihi alipokuja alidai kuwa kikuingiacho sio najisi Bali kikutokacho ndicho kikutuacho unajsi.
Ni sawa na action is only 5% and reaction is 95% ya total outcome/life or success.
Ama success is only 5% strategy na 95% is mindset yako.
Mana wewe ndiye unayetoa jawabu la mwisho. Mfano mtu amekutukana,amekupiga,akakuibia,akakuibia mpenziwr,umefilisika,umefukuzwa job, umepoteza hela hapa kila mtu atakuwa na reaction yake. Mfano Michael Jordan baada ya kukatwa tokea kwa timu ya high school basketball alijifungia ndani akalia baada ya hapo najua kilichotokea.
Kuna mwingine anafukuzwa kazi ndio chanzo Cha mafanikio mwingine anaenda kuwaroga ama kulilia. Binafsi negative huwa kwangu Ni mtaji mkubwa mno.