Huyu ndiyo Bruce Lee

Sijawahi kuzipenda wala kuzielewa muvi za huyu jamaa
Katika Hili inategemea na umri wako na mazingira ulipo kulia

Vijana wa miaka ya 80 hawatakuelewa kabisa maana movie za Bruce Lee enzi zake zilikuwa hazina mpinzani

Na kama ulikuwa kijana wa miaka hiyo 80 basi itakuwa umekulia Kijijini umeanza kuangalia movie ukubwani baada ya Kuja mjini
 
Hakuna
 
Kwahiyo usipozipenda muvi za Bruce Lee umekulia kijijini? Hahahahahaha, Da! kuishi kwa kukariri huku raha sana
 
Huwezi zielewa in normal thinking brain. Jamaa mpaka mafundisho yake yanatumika in normal life. Chukua hii " I fear a man who practiced one kicks 10000 times but I don't fear a man who practiced 10000 kicks once.
Nyingine Tena sema iyo inatosha
Hahahahaha! Aiseeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…