Huyu ndiyo Diamond, ukimuacha anakula shoga yako kwanza

Nmezoea kumuona anakula wazuri wazuri, kwa kimnana naona diamond kashuka kwenye range kapanda starlet huyo Dada bila editing mmh....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kunywa Pepsi bili kwangu leo evaaa kwa mangi hapo
 
Ukiwa na PESA hakuna atakayekukataa
 

Diamond alianza kuwa na Hamisa kabla ya hao wote uliowataja, wakati anamla Hamisa kimya kimya wakati huo huo akaanza kumla Jackline Wolper ,enzi hizo Wolper star sana na Diamond alikuwa bado underground ,baadaye akamtosa Wolper akaanza kumtafuna Wema, wakati anamtafuna Wema akaanza kumtafuna Aunt Ezekiel, wakati anamtafuna Aunt Ezekiel akaanza kumtafuna na Uwoya pia, baadaye akawapiga wote chini akabaki na Wema ,mara paaap Penny akajitokeza ,Diamond akampitia na kumbwaga , alipoichoka K ya Penny akarudisha majeshi kwa Wema, kipindi anamtafuna Wema , Jokate akajipitisha, Diamond akatafuna , Kipindi yupo na Jokate , Avril akajipitisha ,Diamond akafumua bila huruma halafu akampiga chini akarudisha majeshi kwa Wema ,wakati yupo na Wema Zari akajipitisha Mondi akala ..........List lipo ndefu sana.......
 
Safi kabisaa
 
Kumbeeee.. Shikamoo ka Diamond. Ila hao wanawake nao wanapenda. Acha awale tu Kama hawajui kubana miguu yao kwa mashemeji. Wadada wa mjini wana njaa ya umaarufu acha Diamond awape wakapate madanga mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…