Huyu ndiyo Diamond, ukimuacha anakula shoga yako kwanza

Huyu ndiyo Diamond, ukimuacha anakula shoga yako kwanza

Nmezoea kumuona anakula wazuri wazuri, kwa kimnana naona diamond kashuka kwenye range kapanda starlet huyo Dada bila editing mmh....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kunywa Pepsi bili kwangu leo evaaa kwa mangi hapo
 
Ngoja nipunguze stress za kupotea Mo dewji (nampenda sana huyu jamaa)na kuuguza miye humu jf
Aliachwa Aunty,Akala Wema mahaba yakawa km yotee wakagombana akaenda kutoka na jokate enzi hizo Wema na jokate mashosti,ushosti ukaisha....mpk akaenda kumchamba Jokate kwa Zamaradi Wema alienda na Uwoya siku hyooo...

Akamtema Jokate akarudi kwa Wema tena akamla Uwoya mpk shigongo akawapiga picha za hotel waliyolala...Ushoga ukafa kati ya Wema na Uwoya...

Mondi akaona haitoshi akamuacha Wema akaja kumla Penny ambae na Wema walikua wanavaa Sare sare ushosti kama wote..ndio enzi hizo IG inaanza Penny ndo binti wa kwanza kutukanwa kwenye mitandao ya kijamii kama sikosei kwa sababu ya bwana na ndo mambo ya team yakaanza wakaachana mondi akarudi kwa Wema tena walienda kurudiana Chinaaa picha zikavujaa...Penny akaumacha mondi ...mwishowe sasa ushoga ukafa....!!!!
Alivyoachana na Wema akaja kwa Zari

Kwa Zari akamla Huddah,huddah na Zari ushoga ukafa...huku anamla hamissa,officiallylin na tunda(japo hawana ushoga na Zari)

Zari kamtema akawa na Hamissa kw hamissa katemwa anamla shoga ake hamissa anaitwa kimnana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kimnana ndo shemela mpya kwa diamond kwa sasa na familia yaonekana imempitisha rasmi!!!!!

Sijajua anaonaga nini kwa mashemeji zake mpk awe anawala jamaniii!!!

Haya sasa nasubiri team sasa zianze matusi!!!
Ukiwa na PESA hakuna atakayekukataa
 
Diamond alianza kuwa na Hamisa kabla ya hao wote uliowataja, wakati anamla Hamisa kimya kimya wakati huo huo akaanza kumla Jackline Wolper ,enzi hizo Wolper star sana na Diamond alikuwa bado underground ,baadaye akamtosa Wolper akaanza kumtafuna Wema, wakati anamtafuna Wema akaanza kumtafuna Aunt Ezekiel, wakati anamtafuna Aunt Ezekiel akaanza kumtafuna na Uwoya pia, baadaye akawapiga wote chini akabaki na Wema ,mara paaap Penny akajitokeza ,Diamond akampitia na kumbwaga , alipoichoka K ya Penny akarudisha majeshi kwa Wema, kipindi anamtafuna Wema , Jokate akajipitisha, Diamond akatafuna , Kipindi yupo na Jokate , Avril akajipitisha ,Diamond akafumua bila huruma halafu akampiga chini akarudisha majeshi kwa Wema ,wakati yupo na Wema Zari akajipitisha Mondi akala ..........List lipo ndefu sana.......
 
Diamond alianza kuwa na Hamisa kabla ya hao wote uliowataja, wakati anamla Hamisa kimya kimya wakati huo huo akaanza kumla Jackline Wolper ,enzi hizo Wolper star sana na Diamond alikuwa bado underground ,baadaye akamtosa Wolper akaanza kumtafuna Wema, wakati anamtafuna Wema akaanza kumtafuna Aunt Ezekiel, wakati anamtafuna Aunt Ezekiel akaanza kumtafuna na Uwoya pia, baadaye akawapiga wote chini akabaki na Wema ,mara paaap Penny akajitokeza ,Diamond akampitia na kumbwaga Wema, alipoichoka K ya Penny akarudisha majeshi kwa Wema, kipindi anamtafuna Wema , Jokate akajipitisha, Diamond akatafuna , Kipindi yupo na Jokate , Avril akajipitisha ,Diamond akafumua bila huruma halafu akampiga chini akarudisha majeshi kwa Wema ,wakati yupo na Wema Zari akajipitisha Mondi akala ..........List lipo ndefu sana.......
Safi kabisaa
 
Kumbeeee.. Shikamoo ka Diamond. Ila hao wanawake nao wanapenda. Acha awale tu Kama hawajui kubana miguu yao kwa mashemeji. Wadada wa mjini wana njaa ya umaarufu acha Diamond awape wakapate madanga mengine
 
Back
Top Bottom