Huyu ndiyo Maulid Kitenge anayeshangaa Simba SC Kubebwa na Ratiba ya Ligi, ila hashangai Yanga SC yake Kutwa Kubebwa na Waamuzi Viwanjani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Maulid Kitenge labda nikusaidie leo hakuna ambacho kinafanyika kwa Simba SC hakijawahi au hakifanyiki kwa Yanga SC sema tu kwakuwa una Umasikini wa Fikra (Upeo) hili huwezi Kulijua.

Haya Maulid Kitenge kwakuwa leo hapo Sports Headquarters ya EFM ukiwa kama Boss Wao (Sports Department) umekuja na Mada ya Chuki kuwa Simba SC inapendelewa na Ratiba ya Ligi Kuu nakuomba Kesho Jumanne uje na Mada kwanini Yanga SC nayo imependelewa na Ratiba ya Ligi kwa Michezo (Mechi) zake zote Nane (8) inachezea Nyumbani (Mkapa Stadium).

Unatuaubisha sana wana Tasnia Wenzako na hii tabia yako ya Unafiki na Utangazaji wa Mahaba kwa Yanga SC yako na Chuki kwa Simba SC ndiyo inakugharimu na kukufanya Udharaulike na wenye Akili Kubwa.
 
Mzunguko wa kwanza simba kacheza mechi ngapi kwa mkapa? Iyo hoja ya yanga kupendelewa kwa mechi 8 kwa mkapa iondoe kabisa ongea mengine usitutie kichefu chefu
 
Back
Top Bottom