Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kitenge ananogesha kipindi ndo maana hata kwenye magazeti asipokuwepo Kuna kitu unaona kimekosekanaMaulid ni "Host", siyo mchambuzi.
Yeye (akisaidiwa na Ahmed, Mwanaidi na Paul Mkai) ni hosts ambao kazi yao ni kuuliza maswali, kuchokoza explanation...
Na kwenye maisha usipende kusikia vitu unavyovipenda tu na watu hawawez fanana hata siku moja