Huyu ndiyo muwakilishi Kutoka Tanzania atakayeshiriki Miss World 2017.

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Julitha Kabeta ni mrembo atakaye wakilisha Tanzania mwaka 2017 katika mashindano ya Miss World. Japo imeacha sitofahamu nyingi kwa wadau wa urembo kwa jinsi alivyopatikana. Tunamtakia kila la kheri katika kuipeperusha Bendera ya Tanzania.

 
Itakua siku izi ni mwendo wa kuteua tu, si unajua tunabana matumizi ambayo yangetumika kuandaa miss tz, hizo pesa zitatumika kukarabati barabara 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hahaaaaaaa kweli 😀😛
 
Yaani Wewe mpaka leo hujui ni jinsi gani hawa Wanyange / Walimbwende wanapatikana hasa kwa hapa nchini Tanzania? Acha utani bhana! Utendaji wako mkubwa wa ' Kibaiolojia ' kwa Wenye Kamati zao hasa uwapo nao ' Kitandani ' ndiyo ' Turufu ' yako ya ' Kutukuka ' ya Wewe kuibuka mshindi / kidedea. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Hahaaaaaaa naona Unajua mengi zaidi ya haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…