Kwanini?
Kushindana jukwaa la kimataifa tunahitaji mshindani tata mwenye uwenzo wa kipekee (unique talents) kumudu changamoto yoyote, popote, wakati wowote kwa vyovyote
Kupata mtu wa hivyo unahitaji
1. Mipango na mikakati.....sijuwi!
2. Haki na umakini......sijuwi
3. Mfumo wa maandalizi sahihi/mchakato-process
4. Kushindanisha wenye sifa stahiki kuchuja kwa haki bila upendeleo....rejea no-3
5. Kila mmoja wetu, hususan wapenzi wa ulimbwende washirikishwe kikamilifu
Sijaona lolote katika hayo.......sura na umbo pekee havitoshi kumpa mtu tiketi ya kuingia kwenye mashindano hayo......kunamengi yamsingi kama vigezo huhitajika kwa mhusika.