GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hahaaaaaaa naona Unajua mengi zaidi ya haya
Yap Mkuu na ukiona tu sehemu yoyote katika posts zangu namalizia kwa kuandika ' naomba niishie hapa tafadhali ' jua kuna mengine ya hatari na nyeti chini ya ' Kapeti ' nayajua vizuri sana juu ya kinachojadiliwa.