Huyu ndiyo muwakilishi Kutoka Tanzania atakayeshiriki Miss World 2017.

Huyu ndiyo muwakilishi Kutoka Tanzania atakayeshiriki Miss World 2017.

Yaani Wewe mpaka leo hujui ni jinsi gani hawa Wanyange / Walimbwende wanapatikana hasa kwa hapa nchini Tanzania? Acha utani bhana! Utendaji wako mkubwa wa ' Kibaiolojia ' kwa Wenye Kamati zao hasa uwapo nao ' Kitandani ' ndiyo ' Turufu ' yako ya ' Kutukuka ' ya Wewe kuibuka mshindi / kidedea. Naomba niishie hapa tafadhali.
Kumbe na Diana fundi
 
ila kapatikanaje jamani hata viti maalum c vina mchakato? mwakyembe tupe ufafanuzi ulifuta nini
 
tokea nancy sumari awe miss world Africa.. sijaona kam tumefikia zile level tena.
 
Hivi kumbe ile miss TANZANIA inamilikiwa na mtu? sio TAASISI YA SERIKALI? lakini binti mzuri mno....hao akina MISS FLY TO KIA/mobeto ,,,lazima wajione kama UCHAFU....tu.. binti mzuri sana huyo na hana KELELE mjini.....
 
Mpaka hapo tumeshashindwa from the beginning

Havuki round ya kwanza.
 
Back
Top Bottom