Huyu ndiyo muwakilishi Kutoka Tanzania atakayeshiriki Miss World 2017.


Kushindana jukwaa la kimataifa tunahitaji mshindani tata mwenye uwenzo wa kipekee (unique talents) kumudu changamoto yoyote, popote, wakati wowote kwa vyovyote

Kupata mtu wa hivyo unahitaji
1. Mipango na mikakati.....sijuwi!
2. Haki na umakini......sijuwi
3. Mfumo wa maandalizi sahihi/mchakato-process
4. Kushindanisha wenye sifa stahiki kuchuja kwa haki bila upendeleo....rejea no-3
5. Kila mmoja wetu, hususan wapenzi wa ulimbwende washirikishwe kikamilifu

Sijaona lolote katika hayo.......sura na umbo pekee havitoshi kumpa mtu tiketi ya kuingia kwenye mashindano hayo......kunamengi yamsingi kama vigezo huhitajika kwa mhusika.
 
Asantee
 
she look beautiful,good luck tuwakilishe vema;umechagulia kivipi its a debate of another day.
 
lundenga miss tanzania yake imebuma na serikali haimtaki ila analazamisha tu afosi mpaka shindano lake lirudi.. ale mzigo warembo
 
Mkuu una uhakika kwenye hizo picha zote ni mtu mmoja?

Mbona anaonekana tofauti kabisa...zingine mweupe mara zingine nyeusi
 
Alichaguliwa lini huyu kuwa miss Tanzania
 
AMESHINDWA KABLA HAJAFIKA MISS WORLD AGRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR
Mkuu sio vizuri, huyu ni muwakilishi wa nchi kutoka kusikofahamika, huwezi kujua anaweza akatutoa kimasomaso.
Ila Mr lundenga anazingua inatakiwa atueleze ametumia vigezo gani ( sampling technique) Kumchagua huyu mlimbwende kuwakilisha nchi.
Kuwakilisha nchi ni suala nyeti Sana huwezi kuibuka Tu na mtu kusema anaiwakilisha nchi, inabidi wizara iingilie Kati hapa ufafanuzi utolewe,
Bendera ya nchi kuwakilisha nchi nje ni busara ikatolewa na serikali kupitia wizara na sio kienyeji hivi.
Kwa hili lundenga umechemsha Sana.
 

nakuelewa sana usemacho, kama umesoma koment za wadau au ukizungumzia mambo ya umisi sahizi tz ni sawa na mtu anaezungumzia madangulo au sehemu wanazo jiuza. hata awe bora vp hawe fika mbali saikolojikali amekuwa defeated.

sema huwa swez kufariji maiti, sorry mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…