Huyu ndiyo Mwanaume wa Shoka: Aliyekuwa Diwani wa Kamena Halmashauri ya Geita afariki na kuacha watoto 34, wajukuu 129 na vitukuu 10

Kuna Mwalimu wa Shule ya Msingi huko Morogoro ameuwawa na kuacha mke na watoto watatu.
Kati ya watoto hao wawili ni wa kwake na mmoja ni mtito wa dereva wa bodaboda na ilibaki kidogo iwe yeye wawili na bodaboda wawili
 
K
Kwa mke mmoja hao watoto 34 uandishi kama huu usiojitosheleza kuna jamaa kawasema sana wanafunzi wa SAUT
 
Mimi si muumini wa watoto wengi, mmoja anatosha au wawili. Ila watu wanazaa sana dah! Na vijana wengi wanaishia kuwa na maisha magumu sana, kwenye hizi nchi za dunia ya tatu.
Ahsante

Ntakupa hao hao😂😂
 
Mimi wazee wangu wananisisitiza nifyatue tu eti ukoo wetu mdogo,lakini nimeshindwa kwa kweli.Huyu mmoja tu ananitoa mvi na makunyanzi.Kudos baba diwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…