Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
Hii yote sababu ya MADRASA
kule wanakofundisha mungu kawa adopted na fundi seremala anaitwa Yusuf !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii yote sababu ya MADRASA
Angalia huko Tanga yalikoweka Kambi;Kati ya shule mbovu kumi,Tanga imetoa Tano.
Yaani huwa na imagine wewe na faizafoxy mkiwa mume na mke, offspring zenu sijui zitakuwaje. Nimefikiria tu.
Walio soma vizuri woote wamo 'Mkombozi Bank' wanatakatisha pesa haram !
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 gaidi kavaa yeboyebo hawa ni bora wangeenda uza maji au karanga kariakoo maana kifo chao kwa risasi za JWTZ kimewadia
Jamaani wale vijana wenzangu ambao mpo madrasat na wengine ambao hamna kazi
Tafadhali tisidanganyike na watu wachache "eti tupigane kwa ajili ya jambo fulani utapata thawabu" ACHA huo muda nenda katafute kibaraza uanze kushona ndala utajipatia riziki
Ndugu yangu tuongelee swala la Ugaidi.Kuhusu swala la kutakatisha fedha lazima uwe na elimu ya kutosha. Washauri hawa ndugu zetu katika imani waachane na haya mambo ya Ugaidi maana Tanzania sio sehemu salama kwao.
Kwa nini magaidi duniani kote wanashika kuran mkono mmoja ili kuhalalisha mauaji na hawashiki bible? Kwa nini wanamtumia allah lkn hawawezi kumtumia Yehova?
Just curious!
HATIMAYE kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti hili kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita Kaisi Bin Abdullah akijitapa kufanya hivyo kwa lengo la kukusanya silaha ili kulipa kisasi siku si nyingi!
Ijumaa liliunasa mkanda huo kutoka kwa mtu mmoja aliyekataa kujitambulisha kwa jina wala kusema anakotokea hapa nchini huku akisema: Una maneno ya hatari sana, naogopa kujianika, nitauawa.
Hatimaye kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti la Ijumaa kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita Kaisi Bin Abdullah akijitapa kufanya hivyo kwa lengo la kukusanya silaha ili kulipa kisasi siku si nyingi!
Gazeti hilo linadai kuunasa mkanda huo kutoka kwa mtu mmoja aliyekataa kujitambulisha kwa jina wala kusema anakotokea hapa nchini.
Bin Abdullah ametumia dakika 11: 03 kuzungumzia mambo mbalimbali lakini kubwa kuliko yote ni kuliponda Jeshi la Polisi Tanzania kwa kuwakamata wenzao katika imani na harakati (zinazohifadhiwa kwa sasa) na kuwashikilia kwenye mahabusu mbalimbali nchini.
Alianza kwa Kusema:
Bin Abullah ambaye kwenye mkanda huo amevaa nguo nyeusi kama ninja na miwani ya giza, alizungumza kwa kirefu, akitoa wito lakini mbele akasema:
Tumeshaungana ili kupambana. Mkoa wa Mtwara zaidi ya wenzetu kumi na saba walikamatwa kwa makosa ya dhuluma, makosa ya kupanga, makosa ya ugaidi.
Ishirini na moja wamekamatwa Zanzibar wako katika Gereza la Segerea (Dar). Wenzetu wengine kumi na nane wamekamatwa Mwanza wako katika Gereza la Kisongo, Arusha. Ndugu zangu, wenzetu wengine kumi na saba wameuawa Mtwara kwa amri ya ...(anamtaja waziri). Subira yetu imefika mwisho na tulichokuwa tunasubiri Mungu ameshatupa. Tunatoa ahadi kilichopo hivi sasa tunatoboa jahazi wote tuzame.
Tunatoa rai, wenzetu waliopo Gereza la Kisongo waachiwe huru. Hapa hatumtishi mtu yeyote yule.Pili, agizo la Ernest Mangu IGP, umetangaza uliwenguni kwamba umewakamata wote waliovamia vituo vya polisi na umezikamata silaha zote. Ukweli ni kwamba unatetea tumbo lako. Hakuna mtu hata mmoja aliyekamatwa na wala silaha hazijakamatwa.
Mungu ametukubali. Katika Kituo cha Polisi Ushirombo (Kilimanjaro) tumeweza kuvamia kituo, tukaweza kutoa roho za polisi na tukaweza kuchukua silaha, tunazo.
Tumevamia Kituo cha Polisi Ikwiriri (Pwani), tumeweza kuchukua silaha za kutosha, tumeweza kuchukua mabomu ya kutosha. Tunazo silaha tunasubiri muda zianze kufanya kazi.Ernest Mangu nakupa changamogto, hivi sasa tuna uwezo...(maneno yanahifadhiwa kwa usalama) wakati wowote ambao tunataka.
Tumeweza kuchukua silaha bila kuwa na silaha yoyote. Ndugu zetu wa Tanga wameweza kuchukua silaha wakiwa hawana silaha yoyote. Ikwiriri tumechukua silaha tukiwa hatuna silaha yoyote, mpaka sasa tumeshachukua roho tano za polisi.Ndugu zangu, ...mlikuwa mkinisubiri nitoe tamko, natoa kauli rasmi... alihitimisha Abdullah, huku vitisho vya jumla kwenye tamko lake vikiwahusu polisi, viongozi wa ngazi za juu serikalini pamoja na mikusanyiko ya ibada.
Tamko la IGP
Baada ya video hiyo,Gazeti la Ijumaa lilimtafuta Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu na kuzungumza naye kuhusu mtu huyo na kumkabidhi video ambapo alisema: Nawashukuru sana kwa kuleta video hii, huu ndiyo ushirikiano unaotakiwa, nawaomba wananchi video za aina hii wazikatae kwa sababu ni kosa kuwa nazo na watu kadhaa wameshakamatwa kwa kuwa nazo.
Sisi kama jeshi la polisi tunajua kuwa kuna watu wanadhani kufanya uhalifu kama huo kutawasaidia kutimiza matakwa yao, lakini ukweli ni kwamba polisi wapo imara na nina uhakika watuhumiwa watakamatwa kwa kushirikiana na raia wema.
Shehe Mkuu Amkana
Baada ya kuzungumza na IGP, Gazeti lilimtafuta Shehe Mkuu Tanzania, Mufti Shaban Simba na kumsimulia kuhusu kuibuka kwa Bin Abullah na kutaka kujua pengine anamfahamu. Kwanza hizo taarifa hizo ndiyo nazisikia kutoka kwako. Hilo jina ulilonitajia (Bin Abdullah) sijawahi kulisikia labda muangalie kwa wenzetu upande wa pili.
Chanzo:GPL
Haibadilishi maana kwamba shule 10 za mwisho zote ni za waislam na huyu mvuta bangi nae ni muislam
kule wanakofundisha mungu kawa adopted na fundi seremala anaitwa Yusuf !
Walio soma vizuri woote wamo 'Mkombozi Bank' wanatakatisha pesa haram !
Kama Kilaini na Tibaijuka !
Au wakajiunge Mkombozi Bank kwa kazi ya kutakatisha pesa !
hiyo ni kazi ya wasomi magaidi ya kikiristu!
Yehova ndiye Yesu !? ....just curious !
Kama alivyo mla rushwa Kilaini !
Sasa nyinyi wenye shule kumi bora mnazalisha wasomi gani zaid zaid ya wezi kama kina askofu kilaini na rugemalila??
Mbuzi katoliki akili fyatu sana aisee.
Kama alivyo mla rushwa Kilaini !
Kama alivyo mla rushwa Kilaini !
Maandiko ya dini zote yameonya wazi.....mapigano kati ya dini tofauti ndio utakua mwanzo wa kuiangamiza dunia.....binafsi nina amini baadhi ya watu wanaona FURSA katika kila jambo na hata katika prophecy hii watu wamethink out the box literally...tena sio leo, jana wala juzi...hii ni tangu zamani....mwenye akili na atambue....."There is only one truth, only men describe it in different ways."......."The only difference between a religion and a superstition is the degree of social acceptance it enjoys. "
Yehova ndiye Yesu !? ....just curious !