Huyu ndo mwanamke romantic, tofauti na hapo dada unajidanganya

Huyu ndo mwanamke romantic, tofauti na hapo dada unajidanganya

Kwanzia Leo ntasubiri nifunguliwe mlango wa gari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]

Asante pia
You'll end up very dissapointed. Kama hakuyafanya hayo mwanzoni hatakaa ayafanye hata siku moja!
 
Hongera umetoa funzo zuri, najivunia nikipata mwanamke wa hivi anayejitambua
 
Hapo kwenye heshima nimependa kweli, nilipiga chini ndoa hiv hiv,
 
Wanaume wastarabu bado tupo, ila nyie mkishaona mwanaume suruali imechanika magotini unatangaza ndoa kwa nn usilizwe
Kiasi chake lakini wanaume watu wa ajabu unaweza kufanya hayo na zaidi ya hayo bado akakuona box halafu umkute yuko na chausiku sasa,
Nb. Mapenzi hayana formula.
 
Nitakuja kuisoma badae naona magari ya mbagala ya mbagala yamejaa
 
Back
Top Bottom