Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ng,ombe umemlisha kwa miaka 5-6 unamuuza 6M unasema kuna faida?hili dume la mbegu kuuza 30M sio sawa ila ASAS kuuza ndama jike 6M ni sawa....Ufugaji unalipa sana ukiufanya kwa usahihi...
Ng,ombe umemlisha kwa miaka 5-6 unamuuza 6M unasema kuna faida?hili dume la mbegu kuuza 30M sio sawa ila ASAS kuuza ndama jike 6M ni sawa....Ufugaji unalipa sana ukiufanya kwa usahihi...
🤣🤣We hujasikia mbwa anauzwa bilioni moja?ni unaamua tu kutamka bei mjinga akinasa anapigwa,happ watakwambia anapakwa lotion na kupigishwa mswaki
🤣Ikifika usiku huwa anatoa umeme wa kutosha kuweza kuendesha vifaa vyote vya umeme wa nyumbani hivyo pia anapunguza gharama za nishati kwa mmiliki
Dah 😀🤣🙌Na kuna upande ukikamua yanatoka ya moto na ya baridi kabisa yanayokaribia kuganda. Kwa kifupi ni zaidi ya water dispenser
Hajafikia V8. Yuko level moja na Vanguard na Mazda CX5 vijana w anafanyia vurugu mitaani. IST na Dualis wanaachwa kwa mbali.Ng'ombe kama V8🤣🤣
tunabaniana hadi kwenye mifugo!!!
Uelewa mkuu, na ushabiki wa mkumbo mkumboWatanzania huwa tunapenda sana kuongea na kushabikia vitu tusivyovijua, dume bora la mbegu linauzwa hela ndefu sana, huyu dume hapa chini anauzwa US$20,000 sawa na zaidi ya Milioni 53 za Tanzania, pale Iringa kwa ASAS ukipeleka ng'ombe jike wako kupandwa, unalipa 500,000 - 1,000,000 kulingana na mbegu unayotaka, sasa kama una ng'ombe jike 50 na wote wanahitaji kupandwa unalipa sh.ngap?
Brahman Cows – Approximate Price – $20,000
![]()
Brahman cows hail from India and they are great for beef production and breeding.
The Brahman cows have the scientific name “Bos indicus cattle,” and they hail from both India and the United States. It’s commonly bred and used for beef production and breeding. This is also one of the more interesting looking cows, with their white appearance, large humps, and huge ears. The Brahman cow is mostly used for meat and dairy production and some breeding needs. A Brahman cow will typically cost around $20,000 because it’s considered to be a specialty breed. Part of that is related to the fact that Brahman cows have a higher pedigree, according to the American Brahman organization.
Tunaangalia pia na uchumi wetuWatanzania huwa tunapenda sana kuongea na kushabikia vitu tusivyovijua, dume bora la mbegu linauzwa hela ndefu sana, huyu dume hapa chini anauzwa US$20,000 sawa na zaidi ya Milioni 53 za Tanzania, pale Iringa kwa ASAS ukipeleka ng'ombe jike wako kupandwa, unalipa 500,000 - 1,000,000 kulingana na mbegu unayotaka, sasa kama una ng'ombe jike 50 na wote wanahitaji kupandwa unalipa sh.ngap?
Brahman Cows – Approximate Price – $20,000
![]()
Brahman cows hail from India and they are great for beef production and breeding.
The Brahman cows have the scientific name “Bos indicus cattle,” and they hail from both India and the United States. It’s commonly bred and used for beef production and breeding. This is also one of the more interesting looking cows, with their white appearance, large humps, and huge ears. The Brahman cow is mostly used for meat and dairy production and some breeding needs. A Brahman cow will typically cost around $20,000 because it’s considered to be a specialty breed. Part of that is related to the fact that Brahman cows have a higher pedigree, according to the American Brahman organization.
Mi nafikiri ni kama uwekezaji, unanunua mbegu then unaitunza vizuri na unaizalisha na pesa yako itarudi kulingana na mavuno yake.acha kuwa mvivu, google "Brahman cow price"
Brahman cow prices vary widely based on factors like age, genetics, and location, but typically range from $5,000 to $25,000 per animal, according to V8 Ranch. Younger heifers and bulls can be found for less, while older, high-quality breeding stock can command higher price
Huo ni ushuzi wa bata.We hujasikia mbwa anauzwa bilioni moja?ni unaamua tu kutamka bei mjinga akinasa anapigwa,happ watakwambia anapakwa lotion na kupigishwa mswaki
Huu nao ni ushuzi wa bata vile vile. Bora tutiki October
Siyo V8 tu.Ng'ombe kama V8🤣🤣
tunabaniana hadi kwenye mifugo!!!
Jiandae kesho nikupeleke jandoKwahyo tukisema kati ya huyo ng'ombe na Monetary doctor nani ana faidi...
Unakuta kuna mijitu itasema jamaa anafaida hapa
Na kulia mlio wa moooo😁Mi nafikiri ni kama uwekezaji, unanunua mbegu then unaitunza vizuri na unaizalisha na pesa yako itarudi kulingana na mavuno yake.
Kwa Tanzania ukimnunua huyo ng'ombe unapata nini in Return kinachofidia hiyo bei kama unakataa hiyo bei si sababu ya mbegu yake?
Yaani ana thamani gani mpaka asukumwe kwa bei kubwa hivyo maana watu tunanunua thamani bhana.
Au anajamba Natural gas?
Au anatoa cheti cha darasa la7?
Au anatoa pasport ya marekani?
Anafanya nini cha ziada ukiachana na kutafuna nyasi na kutazama angani?
Shida mnachukua bei za ulaya unai-convert halafu unatajia wamatumbi wenzio vitu visivyoelewekaWatanzania huwa tunapenda sana kuongea na kushabikia vitu tusivyovijua, dume bora la mbegu linauzwa hela ndefu sana, huyu dume hapa chini anauzwa US$20,000 sawa na zaidi ya Milioni 53 za Tanzania, pale Iringa kwa ASAS ukipeleka ng'ombe jike wako kupandwa, unalipa 500,000 - 1,000,000 kulingana na mbegu unayotaka, sasa kama una ng'ombe jike 50 na wote wanahitaji kupandwa unalipa sh.ngap?