Huyu Ng'ombe wa Milioni kwa mliofika Nane Nane tunaomba maelezo zaidi

Huyu Ng'ombe wa Milioni kwa mliofika Nane Nane tunaomba maelezo zaidi

Holstein (Friesian) cattle prices in the USA vary significantly based on age, sex, and whether they are bred for dairy or beef. A dairy cow, already bred and/or in milk, can cost between $2,000 and $5,000 or more …huyu ni Friesian huko duniani anauzwa mil 5 mpaka kumi na 3, je huku utampata mteja wa mil 13?
 
Kwa bongo wengi watashangaa kwa sababu hawajaona haya
Kwa hiyo bei kuna Mbuzi wanauzwa Saudia na UAE

Ukiangalia hata Kenya tu kuna wafugaji wanao shamba zima
Watu wamewekeza miaka huko SA, Zimbabwe, Botswana.

Unaweza kuangalia hata YouTube
Ila wengi wenu mnapoteza mda kumuangalia Mtanga na kina mpoki wakati hawawaongezei lolote

Sifoki lakini
 
Back
Top Bottom