Huyu Ng'ombe wa Milioni kwa mliofika Nane Nane tunaomba maelezo zaidi

Hizi breed ni ngeni Africa hivo ni wachache ukinunua si kwa ajili ya kuchinja ni kwa ajili ya mbegu ,unatakiwa uzalishe kwa miaka kadhaa mbegu hiyo wakiwa wengi ndo biashara zianze ,huwezi chinja huyo ng'ombe
 
Ng'ombe kama V8🤣🤣
tunabaniana hadi kwenye mifugo!!!
Hajafikia V8. Yuko level moja na Vanguard na Mazda CX5 vijana w anafanyia vurugu mitaani. IST na Dualis wanaachwa kwa mbali.
 
Uelewa mkuu, na ushabiki wa mkumbo mkumbo
 
Tunaangalia pia na uchumi wetu
 
Mi nafikiri ni kama uwekezaji, unanunua mbegu then unaitunza vizuri na unaizalisha na pesa yako itarudi kulingana na mavuno yake.

Kwa Tanzania ukimnunua huyo ng'ombe unapata nini in Return kinachofidia hiyo bei kama unakataa hiyo bei si sababu ya mbegu yake?

Yaani ana thamani gani mpaka asukumwe kwa bei kubwa hivyo maana watu tunanunua thamani bhana.

Au anajamba Natural gas?
Au anatoa cheti cha darasa la7?
Au anatoa pasport ya marekani?

Anafanya nini cha ziada ukiachana na kutafuna nyasi na kutazama angani?
 
Haya mambo ni magumu sana elfu million 30 ng'ombe balaa sana
 
Na kulia mlio wa moooo😁
 
Shida mnachukua bei za ulaya unai-convert halafu unatajia wamatumbi wenzio vitu visivyoeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…