Huyu ni bwana wa mtu anachezewa hivi mbele ya bibiee. Hivi wanawake wa uswahilini-pwani mna tabu gani haswa?

Huyu ni bwana wa mtu anachezewa hivi mbele ya bibiee. Hivi wanawake wa uswahilini-pwani mna tabu gani haswa?

Hya mambo yapo mlandzi sehemu gani
Muda huu nipo hapa Kauli ya Bibi, napata moja moto moja baridi. Nikilewa niende nikajichanganye

Ua
Upo Picture Ya Ndege Haa
Nitakuja Hapo Maana Nipo Kwa Mathias
 
Back
Top Bottom