jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
hahahhaha imebidi niangalie hio pua kwa mara ya pili, loooh maisha haya jamanKinachomfanya aonekane mkubwa zaidi ni hivyo anaendelea kunyoa style za Gen Z na mihereni. Sasa hivi anatakiwa kunyoa kibroo, mkato safi wa kigentleman na hereni aache mbona sio mzee kihivyo?
Ila maisha haya? Ferooz na pua yake kama sketi ya solo alikuwa anagombewa na wadada enzi zake!