Huyu ni Ferooz, kumbe kweli uzee upo

Huyu ni Ferooz, kumbe kweli uzee upo

Imepita miaka 23 sasa tangu wimbo wake wa Starehe utoke.

Kama alikuwa na miaka 24 Mwaka huo, ina maana kwasasa yupo kwenye 47 🙌

Unadhani ataendelea kuwa na Sura ile ile
Chai

Starehe imetoka 2004.
 
Babukijana hapa umetupiga kamba starehe sio ya 2003 au 2004 kweli, halafu wakati huo inawezekana alikuwa chini ya 24,

Huyu ndo alivyo sura yake tokea kijana sasa ni mtu mzima, sura ya kazi maana halisi ya mbantu umbile la pua na mdomo, tatizo hana nyota
Starehe imetoka 2004
 
Kinachomfanya aonekane mkubwa zaidi ni hivyo anaendelea kunyoa style za Gen Z na mihereni. Sasa hivi anatakiwa kunyoa kibroo, mkato safi wa kigentleman na hereni aache mbona sio mzee kihivyo?

Ila maisha haya? Ferooz na pua yake kama sketi ya solo alikuwa anagombewa na wadada enzi zake!
Kwa sababu alikuwa staa.

Muangalie hata Lodymusic sura yake na aina ya muziki anaoimba ni tofauti. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna uzee hapo n sura yake hiyo sema anaonekana alikuwa mtu wa ngada au pombe
 
Huyu baada ya Daznundaz kuvunjika alianzisha kundi lake walikuwa wanajiita Wahabeshi kama sikosei.

Kundi lilikuwa lipo Sinza Mori.
 
tunaosumbuliwa na hofu ya kuzeeka (gerascophobia) tutaupita huu uzi kama hatuuoni.
 
U
Watanzania wengi wanazeeka haraka sura na miili kwa kukosa milo stahiki.

Abadili namna ya kula tu, asile kimazowea.

Nyama, samaki, mayai, maziwa mboga, matunda ndivyo vya kula. Ugali, wali, na chipsi ni vya kutowelea tu. Watanzania tunafanya kinyume cheke, tunakula ugali na wali, paka haruki. Nyama na Samaki harufu tu.
Uko sahihi sana bibI kwa hili sikupingi
 
Ferooz ana sura ya kizee tangu akiwa mdogo, huyu jamaa bado yuko fiti sana, acheni kumzeesha
 
Kitu cha Pele kinakupotezea nuru...Kukosa usingizi/kutopumzika napo kunazeesha...Kuzunguka juani napo kunaharibu ngozi.
 
Watanzania wengi wanazeeka haraka sura na miili kwa kukosa milo stahiki.

Abadili namna ya kula tu, asile kimazowea.

Nyama, samaki, mayai, maziwa mboga, matunda ndivyo vya kula. Ugali, wali, na chipsi ni vya kutowelea tu. Watanzania tunafanya kinyume cheke, tunakula ugali na wali, paka haruki. Nyama na Samaki harufu tu.

Kuleni Kuku ,Mayai ,Mboga ,samaki ,maziwa - Dereva kalewa gongo haa ,sawa hiyo? Hata hiyo si sawa dereva acha vituko.
 
Kuzeeka sio kosa labda kama angekuwa amechakaa. Kwa umri wake na huo mwonekano ni sawa tu (Ferooz wa miaka 10 iliyopita hawezi fanana na Ferooz wa Leo)...shida wasanii wengi Kuna namna wanafanya adjustment ya camera plus mambo ya cosmetic ukimwangalia unaona kama namba E kumbe ni B. Wachache kama kina Ferooz hawaji-edit na kujipakapaka mambo mengi usoni hivyo ukimlinganisha na wenzake unamwoma kazeeka kumbe wapo sawa.

Huyo yupo poa tu na wala hajazeeka kivile na hata ukimwangilia kwenye ule wimbo wa Starehe ni kama yupo hivyo. Camera tu imemchukua hivyo
 
Back
Top Bottom