Huyu ni Ferooz, kumbe kweli uzee upo

Huyu ni Ferooz, kumbe kweli uzee upo

Naomba uiweke picha ya sketi ya solo ili niifananishe na pua ya Ferouz.

IMG_5732.jpeg
IMG_5731.jpeg
IMG_5730.jpeg
Assalaam Alaykum.
 
Kinachomfanya aonekane mkubwa zaidi ni hivyo anaendelea kunyoa style za Gen Z na mihereni. Sasa hivi anatakiwa kunyoa kibroo, mkato safi wa kigentleman na hereni aache mbona sio mzee kihivyo?

Ila maisha haya? Ferooz na pua yake kama sketi ya solo alikuwa anagombewa na wadada enzi zake!
Naomba uiweke picha ya sketi ya solo ili niifananishe na pua ya Ferouz.
Waaleykum salaam shukrani sana sasa nimeshafananisha sketi ya solo na pua ya Ferouz.
 
labda useme nyimbo za daznunda kama kamanda barua ndio znaeza kua na umr uo manake zimetoka hat kipind kufanya video isue 2002 na 3 ila stareh mbona ya kipnd cha kat tu ila szan km inakosa 15yrs
Starehe ni nyimbo ambayo imeuza sana Kwa upande wa Ferouz

Mwaka 2004 ama 2002 aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin Mkapa alimtunza kiasi Fulani cha fedha katika kutambua mchango wake kupambana na HIV/Ukimwi kupitia wimbo huo wa Starehe
 
Ulikua hujui, We Babu yako bado ni kijana?

Mada zingine bwana🙄🙄🙄
 
Imepita miaka 23 sasa tangu wimbo wake wa Starehe utoke.

Kama alikuwa na miaka 24 Mwaka huo, ina maana kwasasa yupo kwenye 47 🙌

Unadhani ataendelea kuwa na Sura ile ile
Hata hivyo mwenye miaka 47 hawi kama yeye, masoud kipanya na feruzi nani mkubwa?
 
Starehe ni nyimbo ambayo imeuza sana Kwa upande wa Ferouz

Mwaka 2004 ama 2002 aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin Mkapa alimtunza kiasi Fulani cha fedha katika kutambua mchango wake kupambana na HIV/Ukimwi kupitia wimbo huo wa Starehe
.....sahihi, nadhani alipewa na ile gari ya jeep,
 
Hata hivyo mwenye miaka 47 hawi kama yeye, masoud kipanya na feruzi nani mkubwa?
feruz sura yake ni ngumu hivo hivo toka kitambo!
tafuta video ya wimbo wa starehe, utaona sura yake ipo hivyo hivyo!

(huyo hata umri anacheza 50 +/- 3, wenzake ni mwana fa, matonya)
 
Hata hivyo mwenye miaka 47 hawi kama yeye, masoud kipanya na feruzi nani mkubwa?
Huenda Matumizi ya Vilevi na madawa kama wengi wanavyosema.

Lakini umri wa miaka 47+ hawezi kuendelea kuwa na Babyface kama aliyokuwa nayo Mwaka 2000 wakitoa hit song ya "Mwanamkiwa"
 
Inawezekana lakini huwezi jua umri wake halisi wakati anatoa ile nyimbo ya Starehe.

Maana Kibongo Bongo hadi utoboe unaweza kukuta umefikia 30+

Kwahiyo mantiki yangu ni kwamba huenda amevuka 50yrs

Ama kama ulivyosema sura imemgomea.

Kuna baadhi ya Wanaume tuna sura za ngumu zaidi ujue 😜🙌
50 hajavika nafikiri atakua kwenye 40 mwanzoni. Lakini feruzi tangu akiwa mdogo sura ilishamkataa ni kama yule hamphrey polepole ukimwangalia haujui kama ni kijana au mzee
 
Back
Top Bottom