PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Naam, Uzee upo mkuu na haukwepeki.
Hata T.I.D japo kajitahidi kujikuta young lakini bado umri umemsaliti.
TID siku hizi kawa Chale Mbambamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam, Uzee upo mkuu na haukwepeki.
Hata T.I.D japo kajitahidi kujikuta young lakini bado umri umemsaliti.
Wa zamani ni yupi na wa sasa ni yupiWadau kumbe kuna kuzeeka aisee, huyu ferouz hatumii vitu kweli mbona kama age imeenda sana aise.
Unaweza kusema kikongwe, maisha kweli yanabadilika.
View attachment 3047769
Babukijana hapa umetupiga kamba starehe sio ya 2003 au 2004 kweli, halafu wakati huo inawezekana alikuwa chini ya 24,Imepita miaka 23 sasa tangu wimbo wake wa Starehe utoke.
Kama alikuwa na miaka 24 Mwaka huo, ina maana kwasasa yupo kwenye 47 🙌
Unadhani ataendelea kuwa na Sura ile ile
Kinachomfanya aonekane mkubwa zaidi ni hivyo anaendelea kunyoa style za Gen Z na mihereni. Sasa hivi anatakiwa kunyoa kibroo, mkato safi wa kigentleman na hereni aache mbona sio mzee kihivyo?Wadau kumbe kuna kuzeeka aisee, huyu ferouz hatumii vitu kweli mbona kama age imeenda sana aise.
Unaweza kusema kikongwe, maisha kweli yanabadilika.
View attachment 3047769
Ni mzaramo huyo inawezekana kipindi anatoa nyimbo Ile alikuwa na miaka 28Babukijana hapa umetupiga kamba starehe sio ya 2003 au 2004 kweli, halafu wakati huo inawezekana alikuwa chini ya 24,
Huyu ndo alivyo sura yake tokea kijana sasa ni mtu mzima, sura ya kazi maana halisi ya mbantu umbile la pua na mdomo, tatizo hana nyota
Pua kama sketi ya solo 😅😅🙌Kinachomfanya aonekane mkubwa zaidi ni hivyo anaendelea kunyoa style za Gen Z na mihereni. Sasa hivi anatakiwa kunyoa kibroo, mkato safi wa kigentleman na hereni aache mbona sio mzee kihivyo?
Ila maisha haya? Ferooz na pua yake kama sketi ya solo alikuwa anagombewa na wadada enzi zake!
Madawa tu yamemshusha sura mbona age mate wake tunaruka nao majokaNi mzaramo huyo inawezekana kipindi anatoa nyimbo Ile alikuwa na miaka 28
Au naongopa jamani?Pua kama sketi ya solo 😅😅🙌
Huongopi, kuna muheshimiwa ana sura km huyu feruzi lakini wanamuita hbAu naongopa jamani?
Sioni uzee hapo umri wake unacheza kwenye 40+ naona sura yake ndio imepoteza nuru inawezekana Kuna kilevi cha bei ya chini anakitumia sanaMadawa tu yamemshusha sura mbona age mate wake tunaruka nao majoka
Ndicho namaanisha hata mimi Mr Gulio TanzaniaSioni uzee hapo umri wake unacheza kwenye 40+ naona sura yake ndio imepoteza nuru inawezekana Kuna kilevi cha bei ya chini anakitumia sana
labda useme nyimbo za daznunda kama kamanda barua ndio znaeza kua na umr uo manake zimetoka hat kipind kufanya video isue 2002 na 3 ila stareh mbona ya kipnd cha kat tu ila szan km inakosa 15yrsImepita miaka 23 sasa tangu wimbo wake wa Starehe utoke.
Kama alikuwa na miaka 24 Mwaka huo, ina maana kwasasa yupo kwenye 47 🙌
Unadhani ataendelea kuwa na Sura ile ile
Yuko age moja na mwana FaHiyo sura ni kama ana 57 sasa. Huyo sura tuu imemsaliti vinginevyo ni kama Jmo tuu au mwanaFA kwa age yake
Naomba uiweke picha ya sketi ya solo ili niifananishe na pua ya Ferouz.Kinachomfanya aonekane mkubwa zaidi ni hivyo anaendelea kunyoa style za Gen Z na mihereni. Sasa hivi anatakiwa kunyoa kibroo, mkato safi wa kigentleman na hereni aache mbona sio mzee kihivyo?
Ila maisha haya? Ferooz na pua yake kama sketi ya solo alikuwa anagombewa na wadada enzi zake!