Kinachomfanya aonekane mkubwa zaidi ni hivyo anaendelea kunyoa style za Gen Z na mihereni. Sasa hivi anatakiwa kunyoa kibroo, mkato safi wa kigentleman na hereni aache mbona sio mzee kihivyo?
Ila maisha haya? Ferooz na pua yake kama sketi ya solo alikuwa anagombewa na wadada enzi zake!