Kuandika matusi sio ujanja. Andika hoja kwa lugha nzur. Sisi tutajua how clever you are. AsanteMkuu mbona unaandika kama una hemewa kwa nyuma?
Embu tulia andika maelezo vizuri utafikiri huyo George tunamjua wote humu.!
Ndo maana nawachukia san awale majambazi wamesababisha haya yote bila wao kuanza polisi wasingetumia nguvu kidogo kama hiiKijana akieleza kwa machungu kisa kilichumpata hadi kukatwa mguu wake alipigwa risasi akiwa maeneo ya gongo la mboto kisha kapelekwa hospital na kukatwa mguu alikuwa na pikipiki polisi waliondoka nayo hadi leo hajui pikipiki yake ilipo.
Wamemyia ukilema kijana wa watu hawezi tena kufanya kazi familia inamtegemea ni machungu kiasi gani hadi kijana analia sana.
SSH unaua ili ukae madarakani kumbuka madaraka yanamwisho wake.