Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ndugu aliyepo offscreen hajataka kuelewa somo.🥴Mazingira ya rushwa
Anafuata utaratibu wa kazi na kanuni,huyo mwenye gari hakujua utaratibu na akamwambia aandikiwe risiti na jamaa ndicho alichokuwa anataka ,dereva aandikiwe risiti .huyu jamaa na genge lake ni kati ya wanaosumbua wafanyabiashara kariakoo
Jamaa kakubali ki shingo upandeTatizo ndugu aliyepo offscreen hajataka kuelewa somo.🥴