DOKEZO Huyu ni kati ya wanaosumbua Kariakoo

DOKEZO Huyu ni kati ya wanaosumbua Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
huyu jamaa na genge lake ni kati ya wanaosumbua wafanyabiashara kariakoo
Anafuata utaratibu wa kazi na kanuni,huyo mwenye gari hakujua utaratibu na akamwambia aandikiwe risiti na jamaa ndicho alichokuwa anataka ,dereva aandikiwe risiti .
 
Back
Top Bottom